Mbona Mkuu umesahau na wale wa ufipa kila siku wanaelekea nai Hosp. Na wao wasitaifishwe kutapoa sana.Ngoja tuzuiye na nyumbu wetu serengeti
Ushabiki wa kijinga.Haina shida hao ngombe wataifishe tu ila hata vifaranga cha Kenya hakitakanyaga Tanzania. Serikali idhibiti mipaka na njia zote za panya
Scratch my back I scratch yours hate me I Will hate you too.Wapinzani wanapenda CCM?Mpaka hapa nimekuelewa hongera kwa kuwachukia wapinzani na kuchanganya siasa kwenye kila Jambo.
MLIPOSHABIKIA kukamatwa ndege ya bombadier canada haikuwa ushabiki wa kijinga? Sasa ng`ombe wamekamatwa na kushikiliwa kenya.Hilo CHADEMA mumeufyata.Mnalo.mngetetea bombardier na mimi ningetetea ng`ombe wenu wanaoshikiliwa kenyaUshabiki wa kijinga.
Watu kama wewe huwa wanajigamba kuwa watanzania ni wamoja hawana ukabila wala udini, ila hii aina ya chuki na visasi ulivyonavyo hamvisemi, kimsingi hii chuki ni kubwa kuliko ukabila na udini kwa pamoja.MLIPOSHABIKIA kukamatwa ndege ya bombadier canada haikuwa ushabiki wa kijinga? Sasa ng`ombe wamekamatwa na kushikiliwa kenya.Hilo CHADEMA mumeufyata.Mnalo.mngetetea bombardier na mimi ningetetea ng`ombe wenu wanaoshikiliwa kenya
Wala nchi haitakiwi kutishika serikali ikomae tu iendelee kutimua wafugaji toka Kenya kuna sababu sizianiki hapa ila serikali iko kwenye right track