Hatimaye kesho namshuhudia Mohamed Salah na Christian Ronaldo Live, Nimepata entrance ticket Kiev wing A67

Hatimaye kesho namshuhudia Mohamed Salah na Christian Ronaldo Live, Nimepata entrance ticket Kiev wing A67

Dola 360 za Marekani au za huko Ukraine? Au ulimaanisha Euro 360 Mkuu?
 
hongera sana mkuu..umepata bahati kubwa mno..pabano la kesho laweza kuwa la kihistoria kabisa..tunangoje mrejesho wa mambo mengine utakayo yaona ndani na nje ya uwanja jijini kiev
 
mkuu upige na tupicha tuwili tutatu hapo uwanjani afu ushee hapa
 
Mi nafanya mpango nikate zote za WORLD CUP.
 
Back
Top Bottom