Hatimaye kesi ya George Sanga aliyewekwa Mahabusu kwa miaka 3 kwa kesi ya Mauaji kuanza kusikilizwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa iliyosambazwa na Chadema Duniani kote , inaeleza kwamba Mtuhumiwa wa kesi ya uongo ya mauaji , George Sanga, Mwanachama wa Chadema na diwani wa zamani wa Njombe , ambaye alisingiziwa kesi hiyo ili kumkomesha, baada ya kukataa kujidhalilisha kwa kununuliwa na ccm , Itaanza kusikilizwa mfululizo mwezi october 2023.

Hebu fikirieni wenyewe , mtu kakamatwa 2020 tena mapema kabla hata ya Uchaguzi Mkuu , anapelekwa Mahakamani october 2023! Huu ni Unyama wa kiwango cha kutisha sana!

Bali Kama ilivyo kanuni ya Mungu Mwenyezi , kwamba kila ubaya utalipwa , basi wahusika wote wajiandae kwa malipo yao hapahapa Duniani

 
Mbona waliohusika kumfanyia huu ukatili wengi wao washapata hukumu ya Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…