Hatimaye Kessy apanda ndege, awa wa kimataifa!

Dogo kafanya maamuzi sahihi kwa mustakabali wa fani yake
 
Afadhali kwa kweli kipaji hiko kina stahili kupanda ndege mambo ya kuishia manungu tuu alichoka

Ngoja aende kwa kina Turan huk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…