Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Itakuwa hukuwa na kamera ile siku ya kwanza au uliogopa kuonekana mshamba lakini moyoni uliumiaMimi si mchezaji, lakini napanda ndege mara kwa mara, na wala huwa sipigi mapicha kwenye airports