Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Jun 12, 2016 #21 Kapwila Matulu said: Mimi si mchezaji, lakini napanda ndege mara kwa mara, na wala huwa sipigi mapicha kwenye airports Click to expand... Itakuwa hukuwa na kamera ile siku ya kwanza au uliogopa kuonekana mshamba lakini moyoni uliumia
Kapwila Matulu said: Mimi si mchezaji, lakini napanda ndege mara kwa mara, na wala huwa sipigi mapicha kwenye airports Click to expand... Itakuwa hukuwa na kamera ile siku ya kwanza au uliogopa kuonekana mshamba lakini moyoni uliumia
Chi86 Member Joined Nov 14, 2015 Posts 72 Reaction score 18 Jun 13, 2016 #23 Chi86 said: Click to expand... Pamoja na kumfadhili na kumpeleka ulaya bado kathubutu kuvaa rangi ya uganga
Chi86 said: Click to expand... Pamoja na kumfadhili na kumpeleka ulaya bado kathubutu kuvaa rangi ya uganga
kilimbamula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,792 Reaction score 853 Jun 14, 2016 #24 Usaliti umemlipa kwa muda mfupi, lakini atapata hasara kwa muda mrefu. Tunza haya maneno yangu.
tamadunimusic JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 551 Reaction score 559 Jun 15, 2016 #25 kilimbamula said: Usaliti umemlipa kwa muda mfupi, lakini atapata hasara kwa muda mrefu. Tunza haya maneno yangu. Click to expand... Yale yale ya lipumba na dr slaa
kilimbamula said: Usaliti umemlipa kwa muda mfupi, lakini atapata hasara kwa muda mrefu. Tunza haya maneno yangu. Click to expand... Yale yale ya lipumba na dr slaa
kalou JF-Expert Member Joined Aug 22, 2009 Posts 4,975 Reaction score 3,829 Jun 15, 2016 #26 huu ujinga ujinga wa kupanda ndege huku Taifa Star haieleweki ,uSimba na uYanga unaua mpira wa Bongo
MLUGURU JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 2,929 Reaction score 3,710 Jun 16, 2016 #27 uyo dogo anaufeel sana usuperstar....ngoja tuone