Kibanda kateswa na kikundi cha watu waliopo serikalini wenye madarakaau wanaotaka madaraka ambao wana baraka zote za mkuu wan chi (Raisi) ndio maanahakuna linalofanyika kuhusiana na kesi ya kibanda zaidi ya siku 100 tokea ateswe.[/QUOTE]
And this will remain to be ............ ! until ....................!
Mkuu akiwataja sasa hivi mpaka mwaka 2015 watu watakuwa wamesahau. Hata mimi namuunga mkono kutowataja mpaka muda mwafaka utakapofika ili wananchi wawahukumu kwa usahihi kama ulivyosema hapo awali.Hakika kama hataki kuwataja basi nae ni mmoja kati ya watu wasiopenda maendeleo ya taifa hili kwani kuwataja hawa watu kutapelekea uchaguzi uja waTz kuwakataa kwa nguvu ya sanduku la kura endapo serikali haitawafungulia mashtaka pia atakuwa amewasaidia waTz wengine watakaodhuriwa baadae na hawa watu, so kibanda kuwa Mzalendo
Mbona povu wewe unashindwa nini kuthibitisha vinginevyo? S.T.U.P.I.D. watu kama wewe ni janga la Taifa
Thank youYou are simply a piece of rubbish
Jamani mimi ni mtaalamu wa nadharia za njama (ConsipiracyTheoretician) by profession lakini pamoja na facts nilizo nazo, nimejaribukutengeneza theory kibao kuhusiana nakutekwa kwa Kibanda, lakini kila niki-feed facts katika hypothesisnilizotengeneza zinakataa. Nafasi iliyokuwa imebaki ku-prove theory zanguilikuwa ni kumsikiliza kibanda mwenyewe face to face na kuyasoma mawazo yake. Leokibanda kaongea kwa mara ya pili tokea arudi kutoka Afrika ya Kusini akiwaametulia zaidi channel 10 katika kipindi cha Generali on Monday. Pamoja nakuzunguka sana na kujitahidi asitaje jina la mtu wala taasisi, lakini bilakujua amewaondoa ambao walikuwa wanatajwa kuhusika na hivyo kutusaidia watutuliokuwa tunafuatilia sakata lake tukiwa na nadharia nyingi ku-narrow down nakupunguza nadharia na kubakiwa na chache ambazo zina mantiki.
Facts Alizoziongea kibanda Channel 10 leo ambazozina-eliminate theory nyingine zote ni hizi,
1. Watuwaliomteka wana nguvu na uwezo wa kifedha
2. Watuwaliomteka wana madaraka wanauwezo wa kuingilia uchunguzi na kuamrishauchunguzi uelekee wanakokutaka wao.
3. Wapowatumishi wakubwa wa serikali waliostaafu kwenye vyombo vya dola wanaofuatiliauchunguzi huu bila kuyumbishwa.
4. Vyombovya dola na baadhi ya waandishi wamefanya jitihada za makusudi kupotosha tukiozima la kutekwa kwake
5. Watekajisio watu barabarani ni watu wenye utaalamu wa kusomea wa jinsi ya kumdhurubinadamu
6. Tukiohili lina uhusiano wa moja kwa moja na kazi yake kibanda kama mwandishi namtazamo wake katika yale anayoyaandika.
Kwa facts hizi alizoongea Kibanda ukijumlisha namwonekano wake (body language) pale studio kuna theory moja tu ndio inabakinayo ni Kibanda kateswa na kikundi cha watu waliopo serikalini wenye madarakaau wanaotaka madaraka ambao wana baraka zote za mkuu wan chi (Raisi) ndio maanahakuna linalofanyika kuhusiana na kesi ya kibanda zaidi ya siku 100 tokea ateswe.
Mkuu FUHRER
MIE kila siku huwa Nasema mijitu mijinga itaendelea kuteswa Na kuuliwa kila mchao.. Na UOGA Wa Mjinga ni Upumbavu wake.. Embu ona Soga hili la Mfano.... Masharubu kavamia Nyumba yako Usiku Na midude mingine yenye Silaha, wamevunja mlango Na kuingia Ndani Na kuwaamuru mlale chini, Kwa nasibu ukagundua mmoja wapo Wa midude hiyo ni bw masharubu, Na Kwa msaada wa taa ukamuona sawia Yeye Na Sauti yake lakini ukafichama asijue umemgundua, baada ya vichapo, Wizi Na uharibifu Mwingi midude wale wanaondoka. Now Kwa mtete mnajiundaunda Na familia yako kabla ya polisi kuja Kama kawaida nusu saa baadae enewei a-b zao zinaendelea ila sirini unayo Kwamba bw masharubu was the leader.
Mjinga weye ati kesho wajitokeza mediani Na kuanza kubwabwaja.. Ooo aliyeniteka ana sharubu hivi, ana sauti ya hivi Na vile, ni mrefu hivi Na vile .. Huku unashusha wajihi wa bw masharubu nae anakusoma tu Kwenye media ila hujamnanga direct Kwa jina Bali Kwa upumbavu unaongelea wajihi wake, lazima atagundua umeshamfaham Na Kwa mantik hiyo lazima akuwinde akifanyizie Kwa Sababu kumbe umeshamgundua.. Ndivyo wajinga hupwetwa hivyo..
Wewe Kama huna uhakika sema SIJUI---FULL STOP, Na Kama wajua weka mambo HADHARANI.. Sema ni huyu Na Yule pale Na nanihii ndio walio ninanihii.. Ukishawataja nguvu kweisha.. Hawawezi kukudhuru tena Kwa Sababu wakikugusa jamii yote Itajua ni Flan.. Take it from here...