......hahahaaa mambo hayaendi kienyeji kama tunavyofikiri waswahili!.......Mnapenda kutengeneza Story Zanzibar ni sehemu inyoongoza kwa Utalii ikishindana na Morocco pamoja na Cape Town Meli na wageni wake waandaa safari wanaenda wapi na wanalipia kabla hata hawajaanza safari hiyo meli sio bus kuwa itabadili route juu kwa juu ina Bima na matakataka yote mpaka kwa wageni kwa kila safari...ukibahatika kuonana na mtalii hapo wana ramani kabisa ya hiyo Meli wakitoka hapo wataelekea wapi na wapi kwa gharama walizolipia...
Sa 100 amaUtasikia anaupiga mchache
Mkuu utakuwa uelewi au hujafuatilia nini kilitokea au kinaendelea hadi meli hiyo kuja Tanzania ndiyo mana umeandika hicho ulichoandika.Mnapenda kutengeneza Story Zanzibar ni sehemu inyoongoza kwa Utalii ikishindana na Morocco pamoja na Cape Town Meli na wageni wake waandaa safari wanaenda wapi na wanalipia kabla hata hawajaanza safari hiyo meli sio bus kuwa itabadili route juu kwa juu ina Bima na matakataka yote mpaka kwa wageni kwa kila safari...ukibahatika kuonana na mtalii hapo wana ramani kabisa ya hiyo Meli wakitoka hapo wataelekea wapi na wapi kwa gharama walizolipia...
Anaumwa ugonjwa wa utetezi wa visivyoteteka.Mkuu utakuwa uelewi au hujafuatilia nini kilitokea au kinaendelea hadi meli hiyo kuja Tanzania ndiyo mana umeandika hicho ulichoandika.
Please chini ya mada kuna link ifuatilie ujue, that is why nimeanika "Ijue story ilipoanzia"
View attachment 2588231
View attachment 2588233
View attachment 2588235
Ijue story ilipoanzia ππΎ.
Muombee Adui Yako Njaa; Maandamano Yanayoendelea Kenya Yawafurusha Watalii 800 na Kukimbilia Tanzania.
Mzee RAO anamuangamiza kiuchumi Rais Ruto na makamu wake Gachagua kupitia maandamano. Meli ya kitalii iitwayo MV Seabourn Sojourn, iliyopo njiani kwenda nchi mbalimbali duniani, ambapo kwa afrika mashariki ilikuwa isimame kwa siku 6 kwenye bandari ya Mombasa, sasa imebadiri uelekeo hadi...www.jamiiforums.com
Ipo Dsm Port leo....ni meli ya kitalii.....hayo mengine ni maneno tu.Zanzibar sio Tanzania tusijipe sofa za watu...ingetua Dsm.
Ipo Dsm Port leo....ni meli ya kitalii.....hayo mengine ni maneno tu.
kuna nyingine imetoa hapo Dar mpaka palikuwa na sherehe ya vikundi vya ngoma .Zanzibar sio Tanzania tusijipe sofa za watu...ingetua Dsm.
Zanzibar sio Tanzania tusijipe sofa za watu...ingetua Dsm.