Hatimaye kile chombo chenye watalii 800+ waliokimbia kwa hofu Kenya kimewasili Zanzibar, hiki hapa

Mkuu ushahidi upi nipo kwenye hiyo sekta ya Utalii nipo na watu ambao wamepokea na walilipwa kabla hata ya hayo mambo sasa hivi nipo SA pana meli ina safari ya Durban,Cape Town ila itapita Huko Tanzania mwezi wa nane na ingine Desember nayo mtatuambia machafuko ya Somalia tunatumia pesa kuwaleta wageni Tanzania ninyi humu mpo busy kuona kama wanakuja kwa Emergency tuu...Zanzibar imetangazwa kuliko unavyodhania..
 
Sawa tour guide wa kimataifa japo hata sikuelewi au uelewi kabisa andiko, vipi na hawa nao unawasemaje? ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
 
Matura mna shida sana tafuta namba ya hiyo meli utapata safari zake uzuri sisi wengine hata huko kwenye meli tumebeba boxi...narudia tena safari ya Tanzania ilikuwepo mimi pia nilipokea wageni Kenyata ambao walitakiwa waanze Kenya ndio waje Tanzania Ila kwa sababu ya machafuko nilienda kuwapokea wakaaza Tanzania wakaenda maeneo mengi hapa na baadae walirudi Kenya..
 

Attachments

  • 20230223_151601.jpg
    848.4 KB · Views: 3
  • 20230223_150156(0).jpg
    973.1 KB · Views: 3
Tumemaliza mjadara na wewe tour guide wa kimataifa, nashukuru umekiri kwa sababu ya machafuko, sasa maneno mengi ulikuwa unataka nijue ni mbeba box wa melini na tour guide siyo?.

Point of view ilikuwa hilo uliloandika hayo mengine ni kwa faida yako mwenyewe.

Enjoy your night!.
 
Daah unaumia vitu vidogo hivyo faza...
 
hebu kabla hujacoments ubishi wako jaribu kuzama mitandaoni mbona hii ipo wazi kabisa hiyo meli ilikuwa mombasa lakini kwa sababu ya hali ilivo huko ikabidi ije zanzibar ...labda kama una chuki zako binafsi au wewe ni mkenya
 
hebu kabla hujacoments ubishi wako jaribu kuzama mitandaoni mbona hii ipo wazi kabisa hiyo meli ilikuwa mombasa lakini kwa sababu ya hali ilivo huko ikabidi ije zanzibar ...labda kama una chuki zako binafsi au wewe ni mkenya
Daah niwe na chuki wakati napata pesa kupitia watalii safari ya Kenya ilikuwepo hata Zanzibar ilikuwepo ila kutokana na fujo wakaamua kuja Zanzibar uzuri safari za meli ukiandika tuu Jina lake itakwambia sio bus lile kwamba pana vitu utafichwa shida hamjui vitu harafu mnataka kufundisha mabaharia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ