Hatimaye! Kipande cha barabara kutoka Boko bulumawe hadi boko magengeni cha tengenezwa

Hatimaye! Kipande cha barabara kutoka Boko bulumawe hadi boko magengeni cha tengenezwa

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wakazi wa maeneo ya Bulumawe mtaa wa wa Dovya kata ya Bunju manispaa ya Kinondoni tulikuwa tunapata shida sana hususani kipindi cha mvua kutoka na ubovu wa barabara.

Lakini sasa kipande cha barabara kutoka Bulumawe hadi Boko magengeni kimechatengenezwa kwa kiwango cha lami naweza sema lami ya kiwango cha kawaida.

Hii ni baada ya miezi kama 3 nyumba kuleta malalamiko hapa jukwaani na hatimaye sasa mambo ni mswano tu unaweza kusema hivyo shida ya kukanyaga kwenye madibwi ya maji hakuna tena. Big up TARURA.

Soma Pia: Kipande cha barabara cha Boko Bulumawe kimetelekezwa wananchi tunapata shida kupitia

photo_2024-09-18_04-42-21.jpg
photo_2024-09-18_04-42-15.jpg
photo_2024-09-18_04-41-19.jpg
 
Back
Top Bottom