Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Cedric Kaze hakuja na Nabi.Mbona Hilo benchi la ufundi alikuja nalo mkafurahia.??
Walimwacha Zrane na huyo kocha wa makipa kwa sababu za kijingaSimba Sc wamewahi kuwa na mtu kama yule, Zrane sijui ilikuwjaje tu wakaachana nae.!
Hakuna cha kuipenda yanga ila anaipenda kazi yakeπ§πππ‘π π¬π’π¨ Milton Nienov
Tunamshukuru Kocha wa Magolikipa Milton kwa mchango wake katika kipindi chote alichofanya kazi kwenye benchi la ufundi la Klabu yetu na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC.
Maoni yangu:
Naona kabisa benchi la ufundi lote linatembea na Nabi maana walitengeneza Chemistry kubwa sana.
Na Yule jamaa mwenye mzuka (manywele) kama na yeye anaondoka itakua mtihani sana, maana jamaa aliipenda Yanga SC na anamzuka sana haswa timu ikishinda.
Kila la heri kwao.
View attachment 2658817
Nuna mpaka upasuke.Hakuna cha kuipenda yanga ila anaipenda kazi yake
Mimi ni Simba ila kile kibambucha nilikuwa nakipenda.Watuachie tu manywele jamani
Wewe ni me au keMimi ni Simba ila kile kibambucha nilikuwa nakipenda.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Acha uongo. Mameneja hawahusiki na kulipa staff. Labda timu za ndondo Cup.Leo umeamuwa kula usembe na kuacha uchawi.
System ya kisasa kocha mkuu huwa anakuwa na team yake ya ufundi na hata mshahara head coach ndio anawalipa yeye mshahara, ndio maana ukisikia kocha Fulani analipwa pesa nyingi si zake peke yake Bali technical bench analilipa yeye.
Halafu yule Manywele ni Mtunisia mwenzake si rahisi kumuacha kocha jamaa unaona wazi aliipenda Yanga kutoka moyoni.