Hatimaye Kocha wa Magolikipa Milton Nienov apewa mkono wa kwa heri na Timu ya Yanga SC

Hatimaye Kocha wa Magolikipa Milton Nienov apewa mkono wa kwa heri na Timu ya Yanga SC

𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞 𝗬𝗢𝗨 Milton Nienov

Tunamshukuru Kocha wa Magolikipa Milton kwa mchango wake katika kipindi chote alichofanya kazi kwenye benchi la ufundi la Klabu yetu na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC.

Maoni yangu:

Naona kabisa benchi la ufundi lote linatembea na Nabi maana walitengeneza Chemistry kubwa sana.

Na Yule jamaa mwenye mzuka (manywele) kama na yeye anaondoka itakua mtihani sana, maana jamaa aliipenda Yanga SC na anamzuka sana haswa timu ikishinda.

Kila la heri kwao.

View attachment 2658817
Hakuna cha kuipenda yanga ila anaipenda kazi yake
 
Leo umeamuwa kula usembe na kuacha uchawi.

System ya kisasa kocha mkuu huwa anakuwa na team yake ya ufundi na hata mshahara head coach ndio anawalipa yeye mshahara, ndio maana ukisikia kocha Fulani analipwa pesa nyingi si zake peke yake Bali technical bench analilipa yeye.

Halafu yule Manywele ni Mtunisia mwenzake si rahisi kumuacha kocha jamaa unaona wazi aliipenda Yanga kutoka moyoni.
Acha uongo. Mameneja hawahusiki na kulipa staff. Labda timu za ndondo Cup.
 
hii sio habari kwa sasa lilitarajiwa na mengi mengine yanatarajiwa pia
 
Back
Top Bottom