Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hatimae Aubin Kramo leo amecheza na kufunga goli Simba ikiifunga timu ya Ngome fc ya Dar es Salaam goli sita kwa bila. Magoli ya Simba yamefungwa na Aubin Kramo, Baleke goli 2, Kapombe, Onana na Chilunda.
NB: Ikumbukwe ilisemakana kuwa Kramo kila akipangwa kucheza match anaanza kuumwa,tukumbuke pia Boko hakuwepo alikuwa Algeria.
NB: Ikumbukwe ilisemakana kuwa Kramo kila akipangwa kucheza match anaanza kuumwa,tukumbuke pia Boko hakuwepo alikuwa Algeria.