Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Baada ya barua ya Ngome FC kulalamika mtandao wa Simba SC na la Semaji la KAFU wakabadilisha nembo ya Ngome FC ya Zanzibar wakaweka nyingine.Inakuwaje sasa timu kama simba inatengeneza taarifa za uongo kama hizi!! Mimi nilitaka kuwapongeza kwa kuwaiga kaka zao Yanga, kwa kuondokana na ule ulimbukeni wao wa kucheza na timu za nje!!