Hatimaye Kramo afunga goli Simba ikiifunga 6 bila Ngome fc.

Hatimaye Kramo afunga goli Simba ikiifunga 6 bila Ngome fc.

Inakuwaje sasa timu kama simba inatengeneza taarifa za uongo kama hizi!! Mimi nilitaka kuwapongeza kwa kuwaiga kaka zao Yanga, kwa kuondokana na ule ulimbukeni wao wa kucheza na timu za nje!!
Baada ya barua ya Ngome FC kulalamika mtandao wa Simba SC na la Semaji la KAFU wakabadilisha nembo ya Ngome FC ya Zanzibar wakaweka nyingine.
 
Inakuwaje sasa timu kama simba inatengeneza taarifa za uongo kama hizi!! Mimi nilitaka kuwapongeza kwa kuwaiga kaka zao Yanga, kwa kuondokana na ule ulimbukeni wao wa kucheza na timu za nje!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kaka zao kwa Kila kitu nashangaa Kuna wapuuzi wanaita eti mapacha wa KARIAKOO upacha wao unatoka wapi?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Fanya Utafiti kabla ya kuandika kitu na uache ushabiki wa Simba na Yanga.
Unavyosena 'hatimae' ni kama vile hajawahi kufunga kwa taarifa yako Kramo amefunga magoli kwenye mechi zote 3 za kirafiki za mazoezi ambazo Simba amecheza hadi sasa.
Hatimae Aubin Kramo leo amecheza na kufunga goli Simba ikiifunga timu ya Ngome fc ya Dar es Salaam goli sita kwa bila. Magoli ya Simba yamefungwa na Aubin Kramo, Baleke goli 2, Kapombe, Onana na Chilunda.

NB: Ikumbukwe ilisemakana kuwa Kramo kila akipangwa kucheza match anaanza kuumwa,tukumbuke pia Boko hakuwepo alikuwa Algeria.
 
Kwa akili yako ya kukalia mwiko nyuma ngome iko zenji tu hukuona picha za magari ya jeshi bunju arena?
Ndio maana tunaitwa Mbumbumbu!

20230910_120139.jpg

Screenshot_20230910-120511_Instagram.jpg

Inawezekana umetoroka Milembe.

Wenye akili wamenielewa kwenye posti #21.
 
Baada ya barua ya Ngome FC kulalamika mtandao wa Simba SC na la Semaji la KAFU wakabadilisha nembo ya Ngome FC ya Zanzibar wakaweka nyingine.
Ukiachana na nembo, jina la Ngome walilibadili pia?
 
Back
Top Bottom