Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mada muhimu watatoa wapi wakati mwiko uko nyumaNje na hapa hatuna mada muhimu za kuzungumza kweli?
Zilete weweNje na hapa hatuna mada muhimu za kuzungumza kweli?
Simba lazima watangaze ili kuzima zile tano tano za Yanga.Ila Simba na Yanga hizi mechi mazoezi hawakupaswa kutangaza matokeo maana hakuna anayeziona, hayo ni mazoezi tu.
Zile ni za mashindano, kuzizima kwake zinazimwa kwenye mashindano tu.Simba lazima watangaze ili kuzima zile tano tano za Yanga.
Wanatafuta engagement ktk accounts zao ,sio mbaya hata hivyo accounts zinakua active huko ktk social mediaIla Simba na Yanga hizi mechi mazoezi hawakupaswa kutangaza matokeo maana hakuna anayeziona, hayo ni mazoezi tu.
Ngome fc wamekanusha.ogopa matapeli.Kwahiyo Simba wanajipima na Ngome wakijiandaa kupambana Al Ahly
Daaah simbaHatimae Aubin Kramo leo amecheza na kufunga goli Simba ikiifunga timu ya Ngome fc ya Dar es Salaam goli sita kwa bila. Magoli ya Simba yamefungwa na Aubin Kramo, Baleke goli 2, Kapombe, Onana na Chilunda.
NB: Ikumbukwe ilisemakana kuwa Kramo kila akipangwa kucheza match anaanza kuumwa,tukumbuke pia Boko hakuwepo alikuwa Algeria.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]Nje na hapa hatuna mada muhimu za kuzungumza kweli?
Inakuwaje sasa timu kama simba inatengeneza taarifa za uongo kama hizi!! Mimi nilitaka kuwapongeza kwa kuwaiga kaka zao Yanga, kwa kuondokana na ule ulimbukeni wao wa kucheza na timu za nje!!