Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Mabondia kutoka familia moja Kublat Pulev na kaka yake Tervel Pulev wawasili nchini Tanzania kwa ajili ya kushuhudia usiku wa vitasa utakao fanyika tarehe 29/1 ndani ya ukumbi wa next door jijini dar es salaam.Miongoni mwa mabondia watakao panda siku hiyo ni Ibrahim Class na Nasibu Ramadhan , bila kusahau pambano bora zaidi kwa mwaka 2020 lilikuwa ni pambano lililowakutanisha wao (Nasibu na Ibra).
Kublat Pulev pambano lake la mwisho lilikuwa ni mandatory fight dhidi ya unified WBA,WBO,IBF na IBO heavyweight champion of the world ambaye ni Anthony Joshua.
Kublat amepambana mapambano 30 amepoteza mawili ameshinda 28 ,14 kwa K.O na hajawahi kutoka sare.
Amepoteza dhidi ya A.J na Wladmir Klitschko.
Kwa upande wa Tervel Pulev ,yeye amepambana mapambano 15 ameshinda yote 13 kwa K.O.
Ujio wa mabondia hawa hapa nchini ni heshima na faida kubwa sana kwa mabondia wetu , shukrani za kipekee ziwaendee AZAM MEDIA kwa kuusapoti mchezo huu kwa kiasi kikubwa sana.