Hatimaye Kublat Pulev na Tervel Pulev watua nchini Tanzania

Hatimaye Kublat Pulev na Tervel Pulev watua nchini Tanzania

Mbeleni msije mkailaumu serikali kisa hawa jamaa wamekutwa na covid baada ya kutoka Tanzania
 
hao mabondia wa tanzania ndio nawasikia leo
Aisee.

Kama kweli unafuatilia boxing ya Tanzania na humjui Ibrahim Class na huyo Nasibu Ramadhan basi wewe ni mtu wa ajabu sana.

Kama hao tu huwajui, je utawafahamu kweli watu kama Alphonce Mchumiatumbo, Chichi Mawe, Mtambo wa gongo, Awadhi Tamimu nk?
 
Mbona hawajavaa barakoa kama tunavyoaminisha ati wazungu wote wanavaa barakoa,hawashikani mikono
Nchi yetu haina corona ,na wao kabla hawajaruhusiwa kupanda ndege kuja huku wamepimwa na kuonekana hawana tatizo lolote .
 
Kwahiyo wamewapeleka watanzania familia ya Wagombanaji cyo?
 
Aisee.

Kama kweli unafuatilia boxing ya Tanzania na humjui Ibrahim Class na huyo Nasibu Ramadhan basi wewe ni mtu wa ajabu sana.

Kama hao tu huwajui, je utawafahamu kweli watu kama Alphonce Mchumiatumbo, Chichi Mawe, Mtambo wa gongo, Awadhi Tamimu nk?
Huyo mwambie kuhusu wakina zuchu na ggy
Ebwana nlipita siku moja kwenye gym ya mzazi respect naona vijana wanajifua sana
Na bongo mchezo ambao ungepewa promo sana ni ngumi maana watu wana gadhabu sanaa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Umenena vyema mkuu, wabongo tupo vizuri sana kwenye boxing licha ya kufanya mazoezi kwenye mazingira magumu na lishe duni ,serikali ikitoa sapoti ya kutosha huu mchezo utafika mbali sana.
 
Huyo ibra wala sioni huwa anapigana nini lakini huwa anashinda kimiujizaujiza. Kama ni kuitangaza nchi wangemtafutia kiduku bondia mzuri
 
Back
Top Bottom