wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Possibly ukishapewa chanjo uko free ee?
Yes na unapiga na ile dawa ya from madagascar unakua freeeeee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Possibly ukishapewa chanjo uko free ee?
Aisee.hao mabondia wa tanzania ndio nawasikia leo
Huyo kaka wa Kublat atapanda ulingoni siku hiyo ya tarehe 29 ,usikose kutazama.Hii sekta uko vizuri utupe update kila siku[emoji92][emoji91][emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wangekua CCM ungewajua tu
Nchi yetu haina corona ,na wao kabla hawajaruhusiwa kupanda ndege kuja huku wamepimwa na kuonekana hawana tatizo lolote .Mbona hawajavaa barakoa kama tunavyoaminisha ati wazungu wote wanavaa barakoa,hawashikani mikono
Hao sio Warusi ni Wa Bulgaria.Possibly haujui Russia wanapewa chanjo ya Corona.
Hao sio Warusi ni Wa Bulgaria.
Ohoooo kumbe!Wamepitia Russia wakapigwa mjegejo huo wakaendelea na mitikasi yao.
Anapigana na wasio na akili..Kublat ni mzuri , nilisikitika sana alipopigwa na AJ.
Anazichapa na Nani mkuu?Huyo kaka wa Kublat atapanda ulingoni siku hiyo ya tarehe 29 ,usikose kutazama.
Huyo mwambie kuhusu wakina zuchu na ggyAisee.
Kama kweli unafuatilia boxing ya Tanzania na humjui Ibrahim Class na huyo Nasibu Ramadhan basi wewe ni mtu wa ajabu sana.
Kama hao tu huwajui, je utawafahamu kweli watu kama Alphonce Mchumiatumbo, Chichi Mawe, Mtambo wa gongo, Awadhi Tamimu nk?
Umenena vyema mkuu, wabongo tupo vizuri sana kwenye boxing licha ya kufanya mazoezi kwenye mazingira magumu na lishe duni ,serikali ikitoa sapoti ya kutosha huu mchezo utafika mbali sana.Huyo mwambie kuhusu wakina zuchu na ggy
Ebwana nlipita siku moja kwenye gym ya mzazi respect naona vijana wanajifua sana
Na bongo mchezo ambao ungepewa promo sana ni ngumi maana watu wana gadhabu sanaa
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
kwanini walaumuMbeleni msije mkailaumu serikali kisa hawa jamaa wamekutwa na covid baada ya kutoka Tanzania
Anajitahidi sanaHuyo ibra wala sioni huwa anapigana nini lakini huwa anashinda kimiujizaujiza. Kama ni kuitangaza nchi wangemtafutia kiduku bondia mzuri