Kiziza
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 439
- 77
wengi wa hao wabunge na viongozi wanaochelewa kuoa, wamepeleka kizazi kwa mganga wa kienyeji, kinakuwa ndo kafara ya cheo chao cha ubunge...mfano zitto alisema yeye ni mchawi, aliaga kwao kwa wazee alipokuwa anakuja
dar, ndo maana hakufa kwenye ile sumu
waliyokuwa wanataka afe...unaona?....mtu
mzima kama zitto anaishi bila mke..kizazi
kapeleka wapi?
Mh! We Umejuaje?