Hatimaye leo nimefikisha likes 1,000

Hatimaye leo nimefikisha likes 1,000

BIG THINKER

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Posts
680
Reaction score
1,436
Ndoto yangu ilikuwa nifikishe likes 1,000 kabla ya Pasaka ya mwaka 2023, hatimae leo nimefikia. Pongezi nyingi kwangu, sasa hii pasaka nitakula vizuri sababu nimetimiza lengo langu kuu hapa JF.

Kwenye kuipambania hii ndoto ya kufikisha likes 1000 nimepitia changamoto nyingi, miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na kuanzisha bandiko wakati mwingine halina ukweli pia kuna muda inakulazima ukomenti kinyume kabisa na matakwa pamoja na maono yako Ili tu nipate like.

Sasa nimefikisha lengo, ahsanteni wote mlio like chochote nilichotoa humu wakati mwingine ni pumba ila wanangu wa nguvu mlilike.

Napenda sana likes, naomba muendelee kunipa likes japo mwandiko wangu siyo mzuri.

Niambie wewe ulipata like 1000 mwaka gani?
 
Nanogesha nakapicha
Screenshot_20230407-163159.jpg
 
Ndoto yangu ilikuwa nifikishe likes 1,000 kabla ya Pasaka ya mwaka 2023, hatimae leo nimefikia. Pongezi nyingi kwangu, sasa hii pasaka nitakula vizuri sababu nimetimiza lengo langu kuu hapa JF.

Kwenye kuipambania hii ndoto ya kufikisha likes 1000 nimepitia changamoto nyingi, miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na kuanzisha bandiko wakati mwingine halina ukweli pia kuna muda inakulazima ukomenti kinyume kabisa na matakwa pamoja na maono yako Ili tu nipate like.

Sasa nimefikisha lengo, ahsanteni wote mlio like chochote nilichotoa humu wakati mwingine ni pumba ila wanangu wa nguvu mlilike.

Napenda sana likes, naomba muendelee kunipa likes japo mwandiko wangu siyo mzuri.

Niambie wewe ulipata like 1000 mwaka gani
Zinakusaidia nini?
 
Zinakusaidia nini?
Like binafsi naichukulia kama kipimo Cha uwezo wako na uwepo hapa JF.

Namweshim sana mtu aliyenitangulia
Salute kwenu wenye ma like kama yote nyie mchango wenu hapa JF ni mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom