Hatimaye leo Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members.

Dogo hivi unadhani hio list mods ndio wanaiweka?
Hio ni automatic baba
 
Mti wenye matunda...

Si bure....wewe ni bonge la fan wa Ngabu.

A total devotee!

[emoji15] [emoji15] [emoji15] Huyu sio Nyani Ngabu kweli? Au macho yangu...

Ndio yeye huyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nyani Ngabu ameshaenda tayali yamebaki ma id yake mengine ya ajabu ajabu.
Ninaendelea kukonect dots za huyu Nyani.
 
Nini shida hasa iliyokupelekea kumfuatilia jamaa. Ww naye unatabia za kike kike.[emoji35]
 
pole sana ngosha wa USA si unajua jamii forum ni ya wachaga hawapend kuona msukuma anadunda au kuona mtu anamutetea ngosha makonda


nanyupu NGOSHA WA ILEMELA
Mkuu, hahaha unapenda sana ukabila wewe.. Ila hao watu unaotaka kuweka ushindani nao sio size yenu,
 
Sio namtumbo ni bariadi

A big die hard fan wa Nyani Here
 
Hawezi julikana mtu kwakuleta hoja/ nyuzi zenye mashiko na comments zenye mashiko?, hadi atoe iyo hela?, hao wote ulowalist apo juu walitoa iyo hela?
Hapo kuna platinum member wangapi niliowaweka?
 
Mi mgeni umu naomba marafiki
 
Mbona mara nyingi tu hupigwa ban au we ndio umeona leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…