Unapopigwa ban post na account yako inakuwa pending kwa muda. Ukishafunguliwa ban data zako zinaanza kusoma upya. Japo kama nikukuqoute watu watakuqoute kawaida.
Hizi post zetu hazitafutika huyu jamaa ban itaisha. Je data zake zikirudi unaniahidi nini? Au unabisha tu kwasababu unakapointi kakujishikiza? Niambie unaniahidi nini baada ya nyani kumaliza ban na data zake kusoma?