Hatimaye leo Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members.

Hatimaye leo Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members.

We jidanganye tu

Mara ngapi analambwa ban lakini anaonekana?

Kwa nn kwa ss haonekani?
Unatoa maoni au uhalisia mkuu.

Unapopigwa ban post na account yako inakuwa pending kwa muda. Ukishafunguliwa ban data zako zinaanza kusoma upya. Japo kama nikukuqoute watu watakuqoute kawaida.

Hizi post zetu hazitafutika huyu jamaa ban itaisha. Je data zake zikirudi unaniahidi nini? Au unabisha tu kwasababu unakapointi kakujishikiza? Niambie unaniahidi nini baada ya nyani kumaliza ban na data zake kusoma?
 
Back
Top Bottom