Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #21
Namuuliza hapo atupe majibu ,ila inaaonekana aliwatolea mods lugha sizizofaa (sina uhakika lakini)kwani alifanya nini?
Mkuu mbona Nyani hanaga shida ukimwelewa?Sawa haina shida,ila tudadavulie mkuu imekuaje mpaka ukapatwa na hayo maswahibu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
aseeNamuuliza hapo atupe majibu ,ila inaaonekana aliwatolea mods lugha sizizofaa (sina uhakika lakini)
Nyani sina ugomvi naye wala hatuja wahi kukwazana ila nimeona nilete uzi kwa kile nilichokiona ili kupata majibu sahihi zaidiMkuu mbona Nyani hanaga shida ukimwelewa?
Hii ndo faida ya kuwa na id nyingi.... ikibuma hii unaibuka na nyingine [emoji12] [emoji12] [emoji12] Ila pole yakeNdio yeye huyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nyani Ngabu ameshaenda tayali yamebaki ma id yake mengine ya ajabu ajabu.
Atajitokeza baada ya banNyani sina ugomvi naye wala hatuja wahi kukwazana ila nimeona nilete uzi kwa kile nilichokiona ili kupata majibu sahihi zaidi
wewe ni mgeni JF,ni vigumu sana kujua who is who humu JFHatimaye mzee wa USA Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members wa JF pia kuna uwezekano hata ile title ya Platinum member nayo amenyang'anywa .
Pia kuna uwezekano mkubwa hata akawa amepata permanent ban hivyo nawapa pole wafuasi wote wa Nyani Ngabu kuna uwezekano msimuone tena humu jukwaani au hata mkimuona atakuwa hana zile mbwembwe zake maana mods wamemfuta kabisa kwenye wale notable member na cheo chake cha uplatnum nacho wamenyang'anya
View attachment 512015hapa kabla ya Mshana Jr alikuwa Nyani Ngabu yaani namaanisha kwenye list ilikuwa akitoka Rutashubanyuna alikuwa anafata Nyani ngabu ila wamemfuta kwenye list ndo ameonekana mshana jr
View attachment 512017Angalia list hii na hiyo ya juu
View attachment 512018hii list ya most likes ilikuwa akitoka mkwepa kodi anafata Nyani Ngabu ila baada ya kulambwa permanent ban na kuvuliwa u member ndo hivyo haonekani tena
Ha ha ha ha ama kweli mods wa JF si wamchezo mchezo ,
Na hili ni onyo kwa watumiaji wa mtandao huu wote mjitahidi kadri mnavyoweza kutumia lugha nzuri maana inaonekana jamaa kuna kitu amekifanya mpaka mods wakakwazika na kumfanyia walichomfanyia
kosa lake kubwa ni neno nyumbukwani alifanya nini?
Amekua kama Nape?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi reporter tu sina ugomvi na Nyani Ngabu ila ndo hivyo kavuliwa vyeo kawa wakaida sana ,kawa mdogo kama piriton [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani zile sababu zilizosababisha mkaanzisha chama la Makapuku,nahisi bado unazo moyoni si bure....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mimi reporter tu sina ugomvi na Nyani Ngabu ila ndo hivyo kavuliwa vyeo kawa wakaida sana ,kawa mdogo kama piriton [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nahisi kalambwa permanent ban (sina uhakika lakini) maana sielewi kwa nini ametolewa kwenye u notable member na kuvuliwa cheo cha uplatnum ambacho alikuwa akilingia nacho humu jukwaani.Atajitokeza baada ya ban
ambalo na wewe umelitumia saa hiikosa lake kubwa ni neno nyumbu
Muda utasemaNahisi kalambwa permanent ban (sina uhakika lakini) maana sielewi kwa nini ametolewa kwenye u notable member na kuvuliwa cheo cha uplatnum ambacho alikuwa akilingia nacho humu jukwaani.
Una uhakika mimi mgeni humu??wewe ni mgeni JF,ni vigumu sana kujua who is who humu JF
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo walimnyang'anya kwa muda tu?Kwa TAARIFA ZA UHAKIKA jf mods wamedhamiria kurudisha hadhi yake, hivyo wale watukanaji wajiandae
Wala mimi sio member wa makapuku, kwenye makapuku niliingia siku moja tu tena niliingia kuwasalimu tu basiYani zile sababu zilizosababisha mkaanzisha chama la Makapuku,nahisi bado unazo moyoni si bure....[emoji12] [emoji12] [emoji12]