Hatimaye leo Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members.

Hatimaye leo Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members.

Hatimaye mzee wa USA Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members wa JF pia kuna uwezekano hata ile title ya Platinum member nayo amenyang'anywa .


Pia kuna uwezekano mkubwa hata akawa amepata permanent ban hivyo nawapa pole wafuasi wote wa Nyani Ngabu kuna uwezekano msimuone tena humu jukwaani au hata mkimuona atakuwa hana zile mbwembwe zake maana mods wamemfuta kabisa kwenye wale notable member na cheo chake cha uplatnum nacho wamenyang'anya

View attachment 512015hapa kabla ya Mshana Jr alikuwa Nyani Ngabu yaani namaanisha kwenye list ilikuwa akitoka Rutashubanyuna alikuwa anafata Nyani ngabu ila wamemfuta kwenye list ndo ameonekana mshana jr

View attachment 512017Angalia list hii na hiyo ya juu

View attachment 512018hii list ya most likes ilikuwa akitoka mkwepa kodi anafata Nyani Ngabu ila baada ya kulambwa permanent ban na kuvuliwa u member ndo hivyo haonekani tena


Ha ha ha ha ama kweli mods wa JF si wamchezo mchezo ,


Na hili ni onyo kwa watumiaji wa mtandao huu wote mjitahidi kadri mnavyoweza kutumia lugha nzuri maana inaonekana jamaa kuna kitu amekifanya mpaka mods wakakwazika na kumfanyia walichomfanyia
wewe ni mgeni JF,ni vigumu sana kujua who is who humu JF
 
Mimi reporter tu sina ugomvi na Nyani Ngabu ila ndo hivyo kavuliwa vyeo kawa wakaida sana ,kawa mdogo kama piriton [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani zile sababu zilizosababisha mkaanzisha chama la Makapuku,nahisi bado unazo moyoni si bure....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Atajitokeza baada ya ban
Nahisi kalambwa permanent ban (sina uhakika lakini) maana sielewi kwa nini ametolewa kwenye u notable member na kuvuliwa cheo cha uplatnum ambacho alikuwa akilingia nacho humu jukwaani.
 
Nahisi kalambwa permanent ban (sina uhakika lakini) maana sielewi kwa nini ametolewa kwenye u notable member na kuvuliwa cheo cha uplatnum ambacho alikuwa akilingia nacho humu jukwaani.
Muda utasema
 
Kwa TAARIFA ZA UHAKIKA jf mods wamedhamiria kurudisha hadhi yake, hivyo wale watukanaji wajiandae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo walimnyang'anya kwa muda tu?
 
Back
Top Bottom