Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #61
Ha ha ha kitendo cha kufatilia napost nini ni ushahidi tosha kuwa unanielewa sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Like minded individuals kama wewe ndio wanaokujua-wale wenye uwezo wa ku analyse issues hawawezi kukuchukulia serious
Kidume alikuwa mkuu Kiranga tu!! Alikuwa anapambana na jeshi zima la JF jeshi linapoteana!! Nam miss sana yule kiumbe!Ndio yeye huyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nyani Ngabu ameshaenda tayali yamebaki ma id yake mengine ya ajabu ajabu.
SawaNimejaribu kufatiliaa majibu yako kwa huu uzii....nimegundua kitu kuhusu wewe kwa Nyani ngabu....kama huna ugomvi nayee basi kuna sehemu ulikuwa unamuoneaa wivu....na kama wewe ni mwanaumee jichunguzee vizurii mwenendo wako....Wanaume wengi wa ukweli hawako hivoo....ila kama ni mtoto wa kikee ni sawaa....Jichunguzee
MademUkiwa sijui notable member unapata faida gani labda?
Wamekuaje?Madem
Kwani yeye nani mpaka asipewe permanent ban ??
Sawa mimi ni mwanamke mwenzio [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Seems unachekelea sana roho yako imesuuzika. .
Haya omba nafasi yake uwe notable basi. Kama unaona wanafaidi sana.
Wanaume wa siku hizi mmekuwaje hivi ? Hizi tabia za kike kabisa
Sawa mimi ni mwanamke mwenzio [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bado faiza foxyKwa TAARIFA ZA UHAKIKA jf mods wamedhamiria kurudisha hadhi yake, hivyo wale watukanaji wajiandae
SawaNo doubt.
Mwisho wa NN huo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]aisee mbona hatari
Sawa
Nahisi wewe ndio umemfanya atumbuliwe juu kwa juu.Mti wenye matunda...
Hance ni Hance na Nyani Ngabu ni nyani ngabu tunatofautiana kwa mengi ndugu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi mpaka sasa hakuna ambaye kasema wewe ndiye Nyani Ngabu na kwamba unajianzishia threads humu na kujijibu mwenyewe?
Kama mpaka sasa hakuna aliyesema hivyo basi yatakuwa ni maajabu ya wiki hayo!!
Bringi baki awa nyani[emoji16]
Faida ni kuwa notable na kujitapa kama alivyokuwa M-Yuesiei Beibi[emoji12] [emoji12]Ukiwa sijui notable member unapata faida gani labda?