Hatimaye leo Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members.

Hatimaye leo Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members.

Like minded individuals kama wewe ndio wanaokujua-wale wenye uwezo wa ku analyse issues hawawezi kukuchukulia serious
Ha ha ha kitendo cha kufatilia napost nini ni ushahidi tosha kuwa unanielewa sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimejaribu kufatiliaa majibu yako kwa huu uzii....nimegundua kitu kuhusu wewe kwa Nyani ngabu....kama huna ugomvi nayee basi kuna sehemu ulikuwa unamuoneaa wivu....na kama wewe ni mwanaumee jichunguzee vizurii mwenendo wako....Wanaume wengi wa ukweli hawako hivoo....ila kama ni mtoto wa kikee ni sawaa....Jichunguzee
Sawa
 
Seems unachekelea sana roho yako imesuuzika. .
Haya omba nafasi yake uwe notable basi. Kama unaona wanafaidi sana.

Wanaume wa siku hizi mmekuwaje hivi ? Hizi tabia za kike kabisa
Sawa mimi ni mwanamke mwenzio [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi mpaka sasa hakuna ambaye kasema wewe ndiye Nyani Ngabu na kwamba unajianzishia threads humu na kujijibu mwenyewe?

Kama mpaka sasa hakuna aliyesema hivyo basi yatakuwa ni maajabu ya wiki hayo!!
Hance ni Hance na Nyani Ngabu ni nyani ngabu tunatofautiana kwa mengi ndugu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom