Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Monkey kutoka USA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyani Ngabu ndio nani?
tofautisha na zamani ,kwa sasa hata kwenye ile list ya notable members hayupo yani kawa member wa kawaida sanaHuyu jamaa sielewi anacheza vipi na Id yake, kuna kipindi hapa juzi kati alipotea hata ukimsachi inakuja id nyingine ila topix zake zinakuja ktk hiyo id nyingine, baada ya siku kadhaa akarudi na id yake ya kawaida. Atarudi tu, subirini.
Hajanipora kituMkuu vipi nyani ngabu amekupora nini?
kwani alifanya nini?
Matusi uliyontukana yakurudie mwenyewe mara dufu yakeNimepaniki nini sasa?
JF FounderHivi cheo kikubwa kuliko vyote humu ni kipi
Matusi uliyontukana yakurudie mwenyewe mara dufu yake
Gentamitucyne....NyaniNgabu nae ana maringo sana na ujuwaji ka Genta...acha akome
[emoji23] Ngabu anavutaga bangi smtms huyoKhaaa! Hata wewe unatukanwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
JF Founder