Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #141
Jf expert memberNaongelea vyeo vinavyopatika kwa kuscore points nataka cha juu mpaka cha mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf expert memberNaongelea vyeo vinavyopatika kwa kuscore points nataka cha juu mpaka cha mwisho
U platinum haupatikani hivyoNgoja namimi mikomae hadi niifikie hiyo platnum, ndo mwaka wa kwanza tu.
ndiyo unaopigwaMti wenye matunda...
[emoji23] Ngabu anavutaga bangi smtms huyo
Daah mzee amekuungia vipi umemchukulia king'asti chake 2 day uzi na wewe. [emoji23] [emoji23]Mti wenye matunda...
Matusi makubwa sana[emoji16]Kakutukanaje kwani, tusi gani hilo limekuumiza hivyo mamie?
Daah mzee amekuungia vipi umemchukulia king'asti chake 2 day uzi na wewe. [emoji23] [emoji23]
Matusi makubwa sana[emoji16]
We Nyani Ngabu nitakuroga usiku waleo
Safi sana, Jana ulinijibu kuwa wewe si Mzee Wala mgonjwa kama lowasa-malipo hapa hapa wewe tumbili[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji375]Si bure....wewe ni bonge la fan wa Ngabu.
A total devotee!
Matusi makubwa sana[emoji16]
We Nyani Ngabu nitakuroga usiku waleo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]nyani Ngambi ameponzwa na Bashite
Kaa kimya kama kitu hujui sio lazima uchangie kila thread unayoiona.Kunaraha kufuatilia watu hivyo?
Kwani kuna zawadi watu wanapewa wakiwa kwenye hiyo list?
Nyani umefulia hasira zako unawahamishia wadada kisa wanyonge [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo maisha ya u celebrity hayo....
Ma fans kila kona....na jamaa naye ni fan wangu tu huyo.
Sio sifa,uungwana haupo hivyoKumbe hujakoma eeh?
Ngoja nije nikutukane zaidi....
Chuki ipi hiyo unaizungumzia?Jf live long..
Ila tukiwa na chuki hivi tunaharibu the real jf..