Hatimaye leo Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members.

Kunaraha kufuatilia watu hivyo?
Kwani kuna zawadi watu wanapewa wakiwa kwenye hiyo list?
 
Humu jaman kuna vioja!! Khaa hivi ukiwa na hivyo vyeo walipwaa amaaa? Au ndo ustaa uchwaraa nyuma ya fake IDs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…