Hatimaye leo Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members.

Kutoka kuwa Nyani Ngabu mpaka kujiita Ustadhi Swalehe.. .

Hahahaha Naona Laana za watu uliokuwa unawadharau humu zinaanza kukutafuna ... Tubu kaka ukimaliza kujiita ustadhi Swakele Ruksa Kujiita hata Mchungaji Rwakatale
 
Hapa ni chit chat au kwa lugha nyingine ni jukwaa la kupiga stori ,msichukulie mambo serious kihivyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kutoka kuwa Nyani Ngabu mpaka kujiita Ustadhi Swalehe.. .

Hahahaha Naona Laana za watu uliokuwa unawadharau humu zinaanza kukutafuna ... Tubu kaka ukimaliza kujiita ustadhi Swakele Ruksa Kujiita hata Mchungaji Rwakatale
Au Gwajima [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tumeanza na nyani ngabu kwenye ukaguzi wa vyeti feki , Huyu Binaadamu tumemkuta na vyeti feki kuanzia chekechea mpaka chuo ...

Tumefanya maamuzi haya mazito kulinda hadhi ya Jamii Forum kuvamiwa na wahuni, vibaka na Washenzi kama Mkimbizi huyu wa kitanganyika alieko huko kwa Obama.

Hivyo Basi tunamuomba huyu mdau anaejiita Ustadhi swaleh a.k.a nyani ngabu tumkute hapo calfonia kwenye stand ya Bajaji za kwenda Washington ili Tumpekue vizuri Kama nati zake za ubongo zimekaa vizuri kabla hatujampa full JF Access.

daud1990
Msemaji WaJamii Forum
 
Sikuwah kuona posti ya maana ya huyu Jamaa nashangaa ety platinum member
Hiyo title ya u platinum member inapatikana kwa kununua

Bei yake elf 30

Pia kuna title ya gold member nk nayo ina bei yake.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo title ya u platinum member inapatikana kwa kununua

Bei yake elf 30

Pia kuna title ya gold member nk nayo ina bei yake.
Ooh kumbe ndo maana bhn coz sijawah ona mada ya maana ameleta huku ndani ,nilimshangaa sana anamtetea bashite nkajua anatumia tumbo kufkr nlimdharau nikampuuza sana
 
Kutoka kuwa Nyani Ngabu mpaka kujiita Ustadhi Swalehe.. .

Hahahaha Naona Laana za watu uliokuwa unawadharau humu zinaanza kukutafuna ... Tubu kaka ukimaliza kujiita ustadhi Swakele Ruksa Kujiita hata Mchungaji Rwakatale
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naona unamkazia nyani
Sio namkazia bali namuweka sawa

Kwa kipindi kirefu amekuwa akijiona yeye ndo yeye humu JF mpaka baadhi ya watu walikuwa wanahisi huenda na yeye ni moderator halafu kuna uzi miaka ya nyuma ulianzishwa na member mmoja anaitwa Wambee alikuwa analalamika mbona jamaa hapewi ban hata akifanya kosa
,sasa moderator wameonesha kuwa hawampendelei mtu yeyote humu ukizingua unapewa adhabu yako kulingana na kosa ulilolifanya

Huyu ngabu mpaka akafutwa kwenye hiyo list na kupewa ban juu inaonekana moja kwa moja alifanya kosa kubwa sana lililopelekea mods kumpa adhabu hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…