Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Kumbe inajiweka yenyewee,hebu elezea kidogo tuelewe mi nilijua mods ndio wanawekaDogo hivi unadhani hio list mods ndio wanaiweka?
Hio ni automatic baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe inajiweka yenyewee,hebu elezea kidogo tuelewe mi nilijua mods ndio wanawekaDogo hivi unadhani hio list mods ndio wanaiweka?
Hio ni automatic baba
Hio kama wewe una post nyingi kuliko members wote ww ndio unakuwa wa kwanza pale.Kumbe inajiweka yenyewee,hebu elezea kidogo tuelewe mi nilijua mods ndio wanaweka
Afu da Gea nimekumiss sanaa.Kumbe inajiweka yenyewee,hebu elezea kidogo tuelewe mi nilijua mods ndio wanaweka
Sasa hapa kuna watu wanatamani wakuzabe hata vibao kwa ulivyoandika[emoji23]Nyani ngabu ni jembe la JF members.
Hakunaga mwingine, Kaka unajua kuwa una fans wengi sana sana ambao wivu wao wakikusoma ni kubonyeza kuuipoti.
Bila wewe JF haiendi, tunapata majonzi kwa kukumisi.
Ngabu oyeeeeeeee
Kazi kubwa sie wengine itatuchukua miaka [emoji23][emoji23][emoji23]Hio kama wewe una post nyingi kuliko members wote ww ndio unakuwa wa kwanza pale.
Kama una likes nyingi unakuwa pale juu.
Thats it.
Ukitaka uonekane kwemye top ten. Wewe komaa uwe na post laki noja uone kama si utakuwa unaongoza kwenye hii top ten yao
Mi pia nakupenda pia bro IvugaAfu da Gea nimekumiss sanaa.
Naoendage hijabu yako hio.
Ila sikutamani na sikuwazii mambo ya kikubwa. Nakulov tu
Ndo yeye,hajifichagi huyoNinaendelea kukonect dots za huyu Nyani.
Sasa hapa kuna watu wanatamani wakuzabe hata vibao kwa ulivyoandika[emoji23]
eeeeeh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe nae kasoma namba eeh!
KaribuMi mgeni umu naomba marafiki
Kupigwa ban ni kawaidaMbona mara nyingi tu hupigwa ban au we ndio umeona leo
Ha ha ha ha ,we mjaze ujinga tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyani ngabu ni jembe la JF members.
Hakunaga mwingine, Kaka unajua kuwa una fans wengi sana sana ambao wivu wao wakikusoma ni kubonyeza kuuipoti.
Bila wewe JF haiendi, tunapata majonzi kwa kukumisi.
Ngabu oyeeeeeeee
Ukipigwa ban hauonekani kwenye list ya notable members.Kupigwa ban ni kawaida
Ila kwa sasa wamemvua ile title yake na wamemtoa kwenye list ya notable members
Hayo maneno kama umefurahiaNahisi kalambwa permanent ban (sina uhakika lakini) maana sielewi kwa nini ametolewa kwenye u notable member na kuvuliwa cheo cha uplatnum ambacho alikuwa akilingia nacho humu jukwaani.
We jidanganye tuUkipigwa ban hauonekani kwenye list ya notable members.
Hivyo wewe kusema amevuliwa vyeo kisa haumwoni hapo unakosea labda kama umepewa taarifa na uongozi wa JF. Lakini unapopigwa ban kwenye list hauonekani. Halafu hakuna mtu anayepanga fulani awe notable member no! Inatokea kutokana na mfumo wa kiteknolojia.
Asante.