Una uhakika na hili?Malkia wa Uengereza ndie anaetia saini kuwa apeleke jeshi nchi yyte, bila ya saini yake uk wasingeshiriki vita Iraq na Libya au Syria
Vp imekugusa Au?! Pole sana ila ndio ukweli huoHuu ni msimu wa kuvuna mpunga na pamba ndio kazi unayoiweza mkuu ila co ya libya. Waambie na wenzio humu akina dudus Odhiambo cairo n.k mkapambane ili mulishe familia zenu na kuuguza walioathirika na covid-19
Canada wanatumia dollars [emoji385], Uk wanatumia pounds [emoji386] ambayo ina picha ya huyo mmama so tofautisha vitu hivyo viwiliUna uhakika na hili?
Je na huko Canada ambako ni himaya ya malkia wa Uingereza, huko pia huwa anatia saini kama wanataka kupeleka jeshi lao nchi nyingine?
Mkuu ni kiasi cha kuitafuta!Kuna Nini humo .. naisikia tu miaka kadhaa sasa
Vp imekugusa Au?! Pole sana ila ndio ukweli huo
Wajinga wanafikiri Gadafi aliuawa kwa sababu ya alikuwa anabinya democrasia!Mataifa yenye maendeleo endelevu ni yenye demokrasia? Unatuojaje aise. China? Russia? Monarch in europe countries. USA wenyewe wanasema wameibiana kura. Afu unakuja kutudanganya hapa live live
Wewe huelewi hata kinachojadiliwa hapaNdio madhara ya kuongozwa na dikteta! Akiondoka anaacha chuki na visasi mpaka nchi haikaliki.
Sijauliza kuhusu pesa.Canada wanatumia dollars [emoji385], Uk wanatumia pounds [emoji386] ambayo ina picha ya huyo mmama so tofautisha vitu hivyo viwili
Mkuu kumbuka hoja nikwamba Muammar alikaa muda mrefu madarakani kama ilivyo kwa MALKIA wala sio hayo mnayoyaletaSijauliza kuhusu pesa.
Nimeuliza hivi " je huko Canada ambapo pia ni himaya ya malkia wa Uingereza je wakitaka kupeleka jeshi lao nchi nyingine wanahitaji sahihi yake?"
Dikteta ni dikteta tu haijalishi ni muislam/muarabu ama nini?! Na mara nyingi mwisho wa udikteta huwa si mzuri. Mfano; Iddi Amin, Mobutu Seseko, Bokassa, Augusto Pinochet, Hitler, Al Bashir, hawa wote waliishia pabaya baada ya kutawala kwa mkono wa chuma.Huwa silembuilembui kijana wangu, pale napoona mnakosea ni haki yangu kuwakosoa ili mkae kwenye mstari na kuacha kuwaabudu wazungu na kuwaramba matako yao, mtu mwenyewe wanakutambua NYANI TU usie na thamani.
Yeyote anaeshabikia marekani/European countries kwa njia yoyote ile iwe ya ukandamizaji n.k, basi mtu huyo usitegemee atakuja kuwa upande wa waislamu/waarabu, refer mauwaji ya yasar arafat, yassin, Morsi, sadam, gadafi, kiongozi wa kikosi maalum cha jeshi la ulinzi wa Iran soleiman n.k, vifo vyao mlifurahia sana kisa tu waliouawa ni waarabu/waislamu.
Sisi hatukubaliani na hoja kuwa kukaa kwake madarakani ni sawa na malkia wa Uingereza, maana yeye (Gadaffi) alikuwa na mamlaka yote ya dola tofauti na malkia na ili ufafanue hilo lazima tuongelee madaraka ya malkia hivyo sijatoka nje ya mjadala ila nimepanua mjadala.Mkuu kumbuka hoja nikwamba Muammar alikaa muda mrefu madarakani kama ilivyo kwa MALKIA wala sio hayo mnayoyaleta
Nawala hoja sio kwamba malkia ana mamlaka ama hana msibadilishe hoja tusimamie hii hoja yamadaraka kwamuda mrefu kana kwamba hakuna mbadala...
Queen ni ceremonial leader kama sehem ya culture ya England. Hana mamlaka ya kiserikali kama ilivyo kwa waziri mkuu.Mkuu kumbuka hoja nikwamba Muammar alikaa muda mrefu madarakani kama ilivyo kwa MALKIA wala sio hayo mnayoyaleta
Nawala hoja sio kwamba malkia ana mamlaka ama hana msibadilishe hoja tusimamie hii hoja yamadaraka kwamuda mrefu kana kwamba hakuna mbadala...
Unahisi Malkia hana mamlaka yeyote ,!Sisi hatukubaliani na hoja kuwa kukaa kwake madarakani ni sawa na malkia wa Uingereza, maana yeye (Gadaffi) alikuwa na mamlaka yote ya dola tofauti na malkia na ili ufafanue hilo lazima tuongelee madaraka ya malkia hivyo sijatoka nje ya mjadala ila nimepanua mjadala.
Lipo waziQueen ni ceremonial leader kama sehem ya culture ya England. Hana mamlaka ya kiserikali kama ilivyo kwa waziri mkuu.
Hata Japan pia wana mfalme wao anaitwa Naruhito. Hana mamlaka kiutendaji kam alivyo waziri mkuu wao shinzo Abe
Nimekujibu kwamba Queen hana madaraka. Yupo pale kama Symbol ya utamaduni wao tangu zamani. Nimekupa mfano mwingine Japan lakini naona bado unajifanya kichwa ngumuLipo wazi
Ishu nikwamba kwanini anakaa muda mrefu kwamadaraka unahisi hakuna anaestahili mwengine kukaa pale zaidi ya wao kupitia ukoo wao kana kwamba UK niyakwao pekeao ?!
utamaduni anakaa bure pale MKUU anahudumiwa nawalipa kodi wa UK kwaamaana anakula keki yataifa ya UK mwenyewe unahisi wengine hawaitamani ile nafasi ?!Nimekujibu kwamba Queen hana madaraka. Yupo pale kama Symbol ya utamaduni wao tangu zamani. Nimekupa mfano mwingine Japan lakini naona bado unajifanya kichwa ngumu
Naona umeamua kubisha tuutamaduni anakaa bure pale MKUU anahudumiwa nawalipa kodi wa UK kwaamaana anakula keki yataifa ya UK mwenyewe unahisi wengine hawaitamani ile nafasi ?!
kwahio utamaduni nikuwa na Mfalme/Malkia ama utamaduni nikukaa UKOO mmoja madarakani.
Utamaduni wao niwakifalme(UK-United Kingdom)kama akikaa mfalme waukoo mwengine ufalme utakufa ?!...
Hapana MKUU hujaamua kunijibu maswali nlokuuliza tu...Naona umeamua kubisha tu