Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Mbona huwasemi UK wanauongozi wa kifalme?
Huyo unaemjibu ni mmoja kati ya wale mabeberu/wayahudi weusi, hivyo utajisumbua tu kujibishananae, Mzungu kwake kama Mungu. Hivyo kwake ni furaha nyingi na faraja kuuawa kwa Gadaffi.