.... watetezi wa Gadafi hawaoni hilo! Tena ukitawala kwa mkono wa chuma ukiwapoteza wenye mawazo tofauti; ni lazima fitna zitaingia tu no matter unatoa huduma bora za kijamii kwa kiwango gani. Hicho ndicho kiini cha tatizo ...Inauma lakini tatizo kubwa la viongozi wa ki Africa na hata za ki Arab ni kung'ang'ania madarakani kwa njia moja ama nyingine.
Huwezi kuwatawala watu wenye akili na ufahamu kwa zaidi ya miaka 42 na bado ukataka mwanao akurithi !!. Watakufanyia fitna tu.
Mataifa yenye maendeleo endelevu ni yenye demokrasia? Unatuojaje aise. China? Russia? Monarch in europe countries. USA wenyewe wanasema wameibiana kura. Afu unakuja kutudanganya hapa live liveTusijifiche kwenye kiongozi bora au chama bora. Utaratibu ukiwepo wa kupokezana madaraka uheshimiwe .
Mataifa yenye maendeleo endelevu ni yale ya kidemocrasia. Kabla kiongozi hajawaza kuwa mungumtu apumzishwe.
mbona china na russia hakuna aliyemaliza hata miaka kumi kama raisi? hata magu afanye mema gani akitaka kubadili ukomo wa uongozi ataharibu kila kitu, sisi hatupo katika mifumo hiyo. sisi waswahili husema 'tenda wema uende zako'Tukubali tu kuwa watu wenye asili ya kiarabu uongozi wa kifalme ndo njia sahihi, wangeuboresha tu Basi,mfano angalia Iraq demokrasia wapi na wapi?
Ni kweli Ghadafi alikaa sana madarakani, na Hawa wazungu hawajamtoa kisa demokrsia, sio, he was a big threat to their economic interests.
Huoni walivyo muua demokrasia iko wapi?
Wenye maono ya kitaifa wanataka kiongozi bora na sio uchaguzi wa Kila Mara. China wamepata mwamba Xi na Ususi wamepamata mtaalamu Vladimir Putin
Linganisha hao na sisi ambao Kila Mara tunawaza uchaguzi hamna kitu
Hivi hapo wa kulaumiwa ni nani? ni Gadafi kung'ang'ania madaraka au hao waliyokinukisha kwa wao nao pia kutaka madaraka?Hapo ndipo ukweli huwa hausemwi, ukiwa km kiongozi lazima usome nyakati na unachokijenga ili kiwe faida kwa wengine lazma kuwe na kiasi. Binadamu ni mtu asiyerizika kwa hiyo watu walibya waliamini wangepata zaidi na haiwezekani mtu mmoja aongoze nchi kwa zaidi ya miaka arobaini na bado anataka kurithisha mtoto. Gadafi ilibidi aachie madaraka pale alipoanza kuona upingamizi juu yake ampe madaraka kwa mtu mwingine aliyemuamini hata km ingekuwa kwa sanduku la kura then baadae uwezekano wa mwanae kupata uraisi ungeweza kuja na heshima yake ingebaki na nchi ingekuwa salama. Lakini kushupaza shingo akakosa vyote uhai na utajiri wa nchi.
Labda wanamaanisha Amani Karume BOSS.....Alaf kuna watu humu wanasema bila marekani hakuna amani, sjui huwa wanamaanisha amani ipi
Labda wanamaanisha Amani Karume BOSS.....
kwanza:-LIBYA iliwahi kua namfumo wakupokezana madaraka lini ?!Tusijifiche kwenye kiongozi bora au chama bora. Utaratibu ukiwepo wa kupokezana madaraka uheshimiwe .
Mataifa yenye maendeleo endelevu ni yale ya kidemocrasia. Kabla kiongozi hajawaza kuwa mungumtu apumzishwe.
Sasa wanatawaliwa kwamkono wa mafuta siwanaona wanavyoinjoy maisha.!?.... watetezi wa Gadafi hawaoni hilo! Tena ukitawala kwa mkono wa chuma ukiwapoteza wenye mawazo tofauti; ni lazima fitna zitaingia tu no matter unatoa huduma bora za kijamii kwa kiwango gani. Hicho ndicho kiini cha tatizo ...
Achana nae anakurupuka nakuropoka tu...Mataifa yenye maendeleo endelevu ni yenye demokrasia? Unatuojaje aise. China? Russia? Monarch in europe countries. USA wenyewe wanasema wameibiana kura. Afu unakuja kutudanganya hapa live live
Wakurupukaji.....Waajabu sana hawa
Ila duniani kuna vitu vya ajabu sana,yani kwamba wananchi Libya wameona bora waingize nchi vitani kwa sababu ya Gadaffi hataki kuwaachi nafasi na wenzake nao watawale walibya.Tusijifiche kwenye kiongozi bora au chama bora. Utaratibu ukiwepo wa kupokezana madaraka uheshimiwe .
Mataifa yenye maendeleo endelevu ni yale ya kidemocrasia. Kabla kiongozi hajawaza kuwa mungumtu apumzishwe.
Mkuu umekuwa brainwashed kwani malkia Wa uingereza yeye amekaa miaka mingapi madarakani. Pia sio lazima kinachopitishwa na wamagharibi ndo kiwe SI unit ya maisha ya wengine. Binafsi uchaguzi unaofanywa ni kupoteza tu Hela bora hizo Hela zingeenda kufanya mambo mengine ya maendeleo ama watu wa campaign na Ku poll electronicallyInauma lakini tatizo kubwa la viongozi wa ki Africa na hata za ki Arab ni kung'ang'ania madarakani kwa njia moja ama nyingine.
Huwezi kuwatawala watu wenye akili na ufahamu kwa zaidi ya miaka 42 na bado ukataka mwanao akurithi !!. Watakufanyia fitna tu.
Factbox: Gaddafi rule marked by abuses ...Sasa wanatawaliwa kwamkono wa mafuta siwanaona wanavyoinjoy maisha.!?
-Libya ile nchi iliyokuwa mfano kwa nchi za Afrika.
-Libya iliwahi kuwa nchi tajiri zaidi barani Afrika.
-Libya nchi iliyokuwa ikitegemewa katika bajeti ya AU.
-Libya ndo nchi pekee iliyowahi kuwekeza ndani ya bara la Afrika zaidi ya dola billioni 200 katika kipindi kifupi.
-Libya ndio nchi ambayo ilikuwa kimbilio la watu weusi wa nchi za Afrika Magharibi hasa WaNigeria katika harakati za kutafuta unafuu wa maisha.
-Libya ndio nchi iliyosaidia nchi za Afrika kupunguza gharama za kupiga simu, kutuma sms, na intaneti . Libya ilifanya hivyo kwa kununua satellite kwa niaba ya bara zima la Afrika kabla hapo nchi za Afrika zilikuwa nchi za ulaya mamilioni ya Euro kila mwaka.
Lakini toka kupinduliwa kwa utawala wa Muammar Gadaffi mwaka 2011 nchi ya Libya imebaki kuwa uwanja wa mapambano, soko la biashara haramu, huba ya vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu.
Mpaka sasa June 2020 , Ndani ya ardhi ya Libya kuna majeshi ya Saudi Arabia, UAE, Misri , Qatar , Urusi na Uturuki kila mmoja akipambana kuweka kiongozi atakayeendana na maslahi yao.
Hili ni funzo kwa nchi za KiAfrika kuwa makini sana na ushauri wanaopokea kutoka nje, miaka 10 tu iliyopita wananchi wa Libya waliishi kama wafalme.
1)Maji bure 2)Umeme bure 3) Bei ya Mafuta ilikuwa sawa na tshs 200 kwa litre 4)Hamna kodi ya nyumba 5)Elimu bure hadi chuo kikuu na kwa wale waliopendelea kusoma nje pia walilipiwa na serikali 6) Serikali ya Libya ilitoa takribani $ 60,000 karibu milioni 150 kwa kila wanandoa wapya ikiwa ni pesa ya kuanzia maisha.
7) Mwanamke aliyejifungua alipewa dola 5,000
8) Pia endapo mlibya atapata tatizo la kiafya ambalo haliwezi tibika nchini kwake alilipiwa gharama zote za matibabu nje ya nchi na Serikali.
9) Libya ndo nchi iliyokuwa na reserve Kubwa barani Afrika na haikuwa na deni la hata senti. Reserve ya Libya ilikuwa Dola Bilioni 150. N.K.
Libya kabla ya kifo cha Gadaffi .....
View attachment 1486154View attachment 1486155View attachment 1486156View attachment 1486157View attachment 1486158View attachment 1486155View attachment 1486156View attachment 1486157View attachment 1486158
Libya baada ya Gadaffi
View attachment 1486160View attachment 1486161View attachment 1486162View attachment 1486163View attachment 1486164View attachment 1486165View attachment 1486166View attachment 1486167View attachment 1486168
Exactly mkuu! Alipofushwa na madaraka. Akafa kifo cha aibu.Hapo ndipo ukweli huwa hausemwi, ukiwa km kiongozi lazima usome nyakati na unachokijenga ili kiwe faida kwa wengine lazma kuwe na kiasi. Binadamu ni mtu asiyerizika kwa hiyo watu walibya waliamini wangepata zaidi na haiwezekani mtu mmoja aongoze nchi kwa zaidi ya miaka arobaini na bado anataka kurithisha mtoto. Gadafi ilibidi aachie madaraka pale alipoanza kuona upingamizi juu yake ampe madaraka kwa mtu mwingine aliyemuamini hata km ingekuwa kwa sanduku la kura then baadae uwezekano wa mwanae kupata uraisi ungeweza kuja na heshima yake ingebaki na nchi ingekuwa salama. Lakini kushupaza shingo akakosa vyote uhai na utajiri wa nchi.