Hatimaye Libya yawa shamba la Bibi, officially

Nonsense walichokitaka US UK FRANCE na WALIBYA walokua wakiandamana sasa rasmi wamekipata haya maelezo marefu hayatasaidi bila shaka sasa hv wana demokrasia iliokomaa ila maskini hawana Amani..
 
Kwa hiyo hao Miamba siku wakifa na nchi zao Ndio basi tena. Kumbuka binadamu haishi milele na anaweza kubadilika muda wowote.
 
Wakome......

Lakini hii isitutishe kuwatoa CCM madarakani......

In fact hata Brotherly Leader Col. Muammar Gaddafi, alipindua utawala uliokuwepo wa Mfalme Idris.

Viva upinzani
 
Ndio madhara ya kuongozwa na dikteta! Akiondoka anaacha chuki na visasi mpaka nchi haikaliki.
Urafi wa madaraka, wanadhani Ghadafi alikuwa anafaidi, TZ tunarasilimali kibao kwa mfumo huu wa kupokezana tumefika wapi? Mala 100 ghadafi angetawala huku milele
 
Nianche na namba tatu . Taifa langu si la ki democracy kama ulivyodai. Hili taifa limepoteza muda wake mwingi, kwenye u communist usio na tija, na mpaka leo wanaufuata democracy kinafki, ilhali akili yao imelalia u communist. Na u communist popote duniani haijawahi kufaulu.

Pili kuhusu swali la kwanza Colonel Gadhaafi alimpindua mfalme Idris kwa lugha ile Ile. Na baadaye akaishia kung'ang'ania madarakani kwa zaidi ya miaka 42. Huku ukijua unaongoza wanadaamu wasioridhika nafsi zao ?!. Na bado umtangulize mwanao ?!. Sasa kwa nini alimpindua mfalme kama naye mawazo yake yalikuwa yale yale ya kurithishana ?!

Mwisho watendee watu mema lakini wape uhuru wa kujiamulia mambo. Waweza jenga kila kitu, lakini usipowapa watu nafasi ya kusema na kujiamulia, yote uliyoyafanya yaweza kuwa magofu. Binaadamu hajawahi kuridhika [emoji120]
 
Uzuri nikwamba kufa kutabakia kua kufa tu hatakama utafanya nini.....
Ni Kweli lakini mtu kama yeye hakutegemea kukamatwa kama panya kwenye mtaro na vijana aliowaita panya na mende hapo mwanzoni wakati maandamano yameanza!
 
moja:-taifa lako silijui ila bila shaka lipo afrika mashariki nabila shaka linafuata demokrasia ijapokua ambayo haikuvutii kwani demokrasia maana nini mpaka useme nchi yako haifuati demokrasia wakati wanaifata ila sio kama unavyopenda wewe

mbili:-nilikuuliza LIBYA lini ama wapi waliwahi kua namfumo wademokrasia wakuachiana madaraka naona umeamua kubadilisha swali

Nahayo mawili mengine hujayaona ama umeamua tu kuyaacha usiyajibu ?!...
 
Urafi wa madaraka, wanadhani Ghadafi alikuwa anafaidi, TZ tunarasilimali kibao kwa mfumo huu wa kupokezana tumefika wapi? Mala 100 ghadafi angetawala huku milele
Off course gaddafi alikua anafaidi sana na ndio maana hakutaka kuachia madaraka mpaka alipofurushwa kwa nguvu na wananchi wake.
 
Off course gaddafi alikua anafaidi sana na ndio maana hakutaka kuachia madaraka mpaka alipofurushwa kwa nguvu na wananchi wake.
Alifurushwa na wahuni wa beghazi waliofunzwa magharibi na makombora ya Natto
 
nimatokeo yakila kitu katika maisha hao walomtoa kama panya sasa hv ndio wao wanaishi kama panya...
Mataifa yenye maendeleo endelevu ni yenye demokrasia? Unatuojaje aise. China? Russia? Monarch in europe countries. USA wenyewe wanasema wameibiana kura. Afu unakuja kutudanganya hapa live live
Wewe ni pumbavu wa Lumumba ndio maana unatetea mfumo kandamizi ili uendelee kufaidi.
 
Wewe ni pumbavu wa Lumumba ndio maana unatetea mfumo kandamizi ili uendelee kufaidi.
Umeshindwa kibisha kwahoja mpaka una anza kutukana nakuhusisha watu na upumbavu hao LUMUMBA na hao sijui nani wote wapumbavu

Niache kufanya mambo yamaana nijihusishe na UPUMBAVU pole sana kijana...
 
Wale wanaojifanya kulilia democrasia kama wao ndio walioianzisha hii ndio faida yake wameitaka democrasia sasa wameipata, wazungu siku zote wanapenda uwategemee wao kama ilivyo Kenya hapo utakua rafiki yao mzuri
 
Sasa kama umempindua mfalme kwa lugha kuleta utawala wa kidemocrasi , na ukaishia kurudi kwenye ufalme ule ule watu wakufanyeJe ?!.

Viongozi wa ki Africa si wazuri. Hebu angalia Ivory coast Gbabo alipoona mpinzani wa anashinda akabadilika. Oh sijui nchi siwezi kuiacha bila mikono salama !!! Leo ivory coast ipo naye yuko jela. The same na Yahya Jameh anaona mpinzani wake anashinda akabadilika. Je Zanzibar .

Africa tunaleta shida wenyewe
 
Huelewi unapinga ama unaongelea nini kuna sehemu gadafi alisema anampindua aliepo madarakani ili kuleta demokrasia MKUU ?! nakama ipo leta hem nifanye kuiona kama ipo najua kama haipo.


Gbagbo alikua ni mpumbavu sababu walikua wameamua kufuata demokrasia wenyewe akataka kuleta uhuni

Kuhusu zanzibar pia

Viongozi wa Afrika unawaona wanaweza wakawa wajinga kwasababu hawafati demokrasia napia wanaweza wasiwe wajinga sababu hawataki unafiq wakujifanya wanaifata demokrasia wakati hawaiwezi

Kuwalazmisha waafrika waifuate demokrasia ndio kunawapelekea kutokea yanayotokea kwani kabla yakuja demokrasia afrika haikua nawatawala ama waarabu hawakua nawatawala !?
 
Kwa maoni yako ungependa Africa ifuate mfumo upi hasa ?! Naona hueleweki.

Kama umeishi miaka ya nyuma kidogo utajua viongozi wengi wa Africa wakiopigania uhuru waliishia kuwaua raia wao. Hawavumilii kukosolewa hata kupishana mawazo tu. Wengi wao waliishia kuwa ma dictator na ma fisadi. Na ndiyo maana dunia iliona afadhali kuwa na mfumo wa kupokezana madaraka . Hili nalo utekelezaji wake ni mgumu kisa unafki wa wengine kujiona bora kuliko kada nyingine.
 
Achana nae huyo. Imani yake ni kila walifanyalo au kulitaka wamagharibi ni sahihi na lazima kwa nchi nyingine kufuata.
Kwanza hiyo wanyoiita demokrasia ndio njia wanayoirumia kugombanisha mataifa mengine. Hakuna uchaguzi utakaofanyika ila watadai haukuwa huru na haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…