Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kuendekeza njaa na maslahi binafsi kwa wana CCM kumekifanya chama hicho kuwa kwenye wakati mgumu sana kupingana na hoja ya CHADEMA na Lissu kuwa No Reform No Election.
Utafiti wangu umeonesha kuwa suala la No Reform No Election lilitangazwa na CHADEMA linawapa wakati mgumu sana CCM kwa sababu linaungwa mkono wa wabunge wengi wa CCM waliopo Bungeni kwa sasa kwa sababu endapo mchakato wa mabadiliko ya Katiba na Sheria ukifanyika sasa, wataongezewa kipindi cha kuwepo Bungeni hivyo kulamba posho ndefu sana zinazofikia milioni 700 kila mmoja pale mchakato wa kupata Katiba Mpya utakapokamilika. Posho hizi ni zaidi za kiinua mgongo cha milioni 230 ambacho watakitapa pale bunge litakapovunja mwezi Juni. Pia ni nje ya mishahara watakayoipata kwa muda wote ambao Bunge litaongezewa muda.
Taarifa nilizozipata zinaeleza kuwa pendekezo la CHADEMA kuwa Bunge hili lisivunjwe hapo mwezi Juni na Taifa lianze mchakato wa Mabadiliko ya Katiba limewavutia wabunge wengi sana ambao wengi hawana uhakika wa kurudi bungeni na kuendelea kula posho za ubunge baada ya uchaguzi wa mwezi Oktoba, 2025.
Pia taarifa nilizozipata zinaeleza kuwa pendekezo hili limewavutia pia wasaidizi wa Mama Kizmkaz ambao wanaona endapo suala hili likipitishwa muda wa Mama kizimkazi kuendelea kukaa ikulu utaongezeka hivyo wao kuendelea kuneemeka.
Jamaa yangu aliye karibu na Msaidiz mmoja wa Mama Kizmkaz amesema kuna uwezekano mchakato wa KATIBA kuchukua takribani miaka 2 hadi 3, hivyo endapo uchaguzi ukifanyika baada ya muda huo kuna uwekezako Mama Kizimkaz kuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 13 ( Hii ni endapo atashinda uchaguzi utakaofanyika baada ya mabadiliko hayo ya Katiba)
Maombi yangu Lissu endelea kushikilia hapo hapo. Safari hii umewashika Lumumba pabaya sana.
Mnyetishaji wangu amemaliza kwa kusema, Katiba Mpya ndo kaburi la CCM ila kwa watu walivyo na njaa na tamaa pendekezo la Lissu linawatoa udenda vibaya sana.