Hatimaye maji yameanza kutoka Mbezi Beach kwa Zena, JF mbarikiwe

DAWASA leo kaenda waziri wa Maji Aweso basi kuzuga wametoa maji kwote.
 
Hongereni.

Huku Kimara inakimbilia wiki ya tatu sasa bilabila. Naona huduma ya maji upande huu imekuwa ni biashara ya watu fulani na siyo huduma tena kama Serikali inavyopaswa kutekeleza wajibu wake.
 
naipongeza serikali kwa ujumla kwa kumulika kero za watanzania wa kawaida kupitia majukwa tofautitofauti ikiwemo na jf
 
Huku nilipo ni kubambikiza tu watu madeni ya maji,hovyo kabisa CCM na mifumo yake
 
Hongereni.

Huku Kimara inakimbilia wiki ya tatu sasa bilabila. Naona huduma ya maji upande huu imekuwa ni biashara ya watu fulani na siyo huduma tena kama Serikali inavyopaswa kutekeleza wajibu wake.
Kimara wanatoa wakijisikia hawa jamaa ni jeuri kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…