Hatimaye Malisa na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Nchi ina wapumbavu wengi sana hii. Hasa CCM na polisi wake
 
Walichofanya Polisi ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Yaani badala ya kumwita mtoa taarifa za uhalifu (whistleblower) ili akusaidie ktk kufanya upelelezi wako kwa ajili ya kuwabaini Wahalifu waliohusika na uhalifu, wewe unawatisha kwa vitisho vya kuwapeleka Mahakamani???Aibu gani hii!?
 
kimbelembele kimewaslow down kidogo, wanatia huruma hasaa
 
Hahaha pipa kanyea debe. Na bado akomeshwe kabisa muhuni. Bado yule jambazi na jizi mbowe, 2024 lazima tufufue kesi ya ugaidi ahukumiwe kunyongwa hadi kufa kabisa afe
 
Kikubwa watulize makalio, siyo kila taarifa unayoikota unairusha mtandaoni. Maana Boniyai kutwa nzima kupost udaku kama Mange Kimambi
 
Sasa masaa 40 walikuwa wanawahoji kuhusu nini? Polisi acheni kujidhalilisha kuweni na weledi wa kazi mtaheshimika sana kuliko hivi jamii inavyozidi kuwadharau.
 
Then maisha yako na ndugu zako ndo yatanyooka? Ukali wa maisha ndo utapungua? Wapumbavu kama ninyi ndio mnaotumika na watawala, unashindwa kujua kipaumbele chako, badala ya kupambana na maisha yako wewe unapambana na kina mbowe. Mwendawazimu kweli kweli
Hahaha pipa kanyea debe. Na bado akomeshwe kabisa muhuni. Bado yule jambazi na jizi mbowe, 2024 lazima tufufue kesi ya ugaidi ahukumiwe kunyongwa hadi kufa kabisa afe
 
Aisee pole yao, huku mtaani huwa tunaambiana kuwa weekend huwezi kupata dhamana yaani ukiingia ijumaa polisi utatoka jumatatu, kumbe sio kweli.
mkuu kama wabaokuja kukufata wikiendi hawana Range, au jeep au prado ya 2023 huwezi kutoka kamwe. Ila kama zipo unatoka.
Btw polisi wengi wanamuogopa kibatala sababu hawajui kuongea kingereza hata cha gud moningi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…