Hatimaye Malisa na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

Hatimaye Malisa na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki .

Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu , bado haijafahamika siku ambayo watafikishwa Mahakamani

View attachment 2975318
Waache mara moja uzushi,kila lakheri tupambane kwa hoja.
 
Malaya mkubwa wewe!
Figo yako na gaidi lenu mbowe, tena lisubiri tu kukamatwa gaidi kabisa liujaji dikiteta hakitaki kuachia uenyekiti, jizi, fisadi, lihuni litoboa masikio, linafanya akina adamu, yaani watanzania tunalichukia sana tena sana na kama lilivyoshangilia kifo cha Dkt Magufuli siku likifa lenyewe mbwa watafurahia na kufanya sherehe ya msururu wa dume jike hahaha
 
Then maisha yako na ndugu zako ndo yatanyooka? Ukali wa maisha ndo utapungua? Wapumbavu kama ninyi ndio mnaotumika na watawala, unashindwa kujua kipaumbele chako, badala ya kupambana na maisha yako wewe unapambana na kina mbowe. Mwendawazimu kweli kweli
Hayawani nyamaza, tuna agenda yetu 2025. Huyo kengeza wako gaidi anasubiriwa kesi ianze gaidi mkubwa sana tena lazima ahukumiwe kifo kabla ya 2025
 
Figo yako na gaidi lenu mbowe, tena lisubiri tu kukamatwa gaidi kabisa liujaji dikiteta hakitaki kuachia uenyekiti, jizi, fisadi, lihuni litoboa masikio, linafanya akina adamu, yaani watanzania tunalichukia sana tena sana na kama lilivyoshangilia kifo cha Dkt Magufuli siku likifa lenyewe mbwa watafurahia na kufanya sherehe ya msururu wa dume jike hahaha
Leo utakuwa wapi nikupige kiboga!
 
Kikubwa watulize makalio, siyo kila taarifa unayoikota unairusha mtandaoni. Maana Boniyai kutwa nzima kupost udaku kama Mange Kimambi
Mkuu ingekuwa wewe ndugu yako amechukuliwa na polisi halafu baada ya siku kumi apatikane kwenye mortuary ya polisi ungekaa kimya? Kuwa pro utawala wa Samia kusikutoe utu.
 
Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki .

Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu , bado haijafahamika siku ambayo watafikishwa Mahakamani

View attachment 2975318
Muliro kila akikumbuka Kingai alivyotolewa fistula na maswali Kibatala akaona bora akubali yaishe.
 
Back
Top Bottom