Hatimaye Malisa na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

Mujane acha makasiriko
Bosi siyo hivyo ila naona wajuba wananichokoza hawa ma chasaka. As long as team chama mfu chadema wataendelea kumdhihaki Dkt Magufuli hata ktk umauti wake tuna deal nao, he was a figure head, na hichi ni kisasi cha kizazi chote cha chama mfu chini ya mbowe, we will never get tired kumtetea na kumsemea yaliyo mema Dkt Magufuli. Ila siku wakibadilika na kutambua Dkt Magufuli anahitaji heshima basi we will do the same kwa viongozi wao, otherwise, ni kisasi kisasi na Mungu wetu mkuu uzuri yupo upande wetu.
 
Aisee pole yao, huku mtaani huwa tunaambiana kuwa weekend huwezi kupata dhamana yaani ukiingia ijumaa polisi utatoka jumatatu, kumbe sio kweli.
chuma JPM ndo aliutoa huo utaratibu wa kutopata dhamani weekend
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=L_qrkn_TRrg
Akiongea mbele ya kituo kikuu cha Polisi Kati Central Police Dar es Salaam na kutakiwa kuripoti jumatatu kwa mahojiano zaidi.

Meya mstaafu Jacob Boniface ameongeza kuwa vifaa kama simu na kompyuta mpakato vinashikiliwa na jeshi la polisi
 
Kule mtandao wa X ni mbabe sana mbona hapo amepoa sana?
 
 
Huyo bonge yai wangemuacha huko kwanza kidogo tupunguze mashuzi mtaani.
 
Hahaha pipa kanyea debe. Na bado akomeshwe kabisa muhuni. Bado yule jambazi na jizi mbowe, 2024 lazima tufufue kesi ya ugaidi ahukumiwe kunyongwa hadi kufa kabisa afe

Unayeombea wengine kufa, ujue umejitengenezea laana. Utawatangulia.
 
Kikubwa watulize makalio, siyo kila taarifa unayoikota unairusha mtandaoni. Maana Boniyai kutwa nzima kupost udaku kama Mange Kimambi

Yeye siyo punguani kama wewe. Hawezi kunyamaza wakati ndugu yake kauawa.
 
Kwahiyo sahivi baada ya kukamatwa wamebadili ile kauli yao kuwa polisi ndo walimuua Babu G? Kwanini wasiendelee na msimamo uleule na kuthibitisha kuwa polisi ndo wamehusika ili wahalifu wachukuliwe hatau
 
Waache mara moja uzushi,kila lakheri tupambane kwa hoja.

Akili za hao, ni level ya juu sana wakilinganishwa na wewe. Hakuna uzushi ndiyo maana polisi wamepigwa altimatum jana ya kuwaachia mara moja si zaidi ya leo, nao wametii amri.
 
Hayawani nyamaza, tuna agenda yetu 2025. Huyo kengeza wako gaidi anasubiriwa kesi ianze gaidi mkubwa sana tena lazima ahukumiwe kifo kabla ya 2025

Wewe punguani ni mzigo kwa CCM. Kwanza ukisema na wewe ni mwanaCCM, lazima wakukatae. CCM haitaki kuendelea kuonekana ni jalala la punguani.
 
Unayeombea wengine kufa, ujue umejitengenezea laana. Utawatangulia.
Bams ka ndiyo hivyo basi viongozi waandamizi wa chama mfu chadema watakufa wote kabla y 2025 kwa sababu walimuombea Dkt Magufuli afe na wakafanya sherehe baada ya kufa maana yake wamelaaniwa hahaha. Mimi nimesema mbowe atahukumiwa kifo kwa sababh ni gaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…