Hatimaye Malisa na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

Maisha magumu yamekusabishia Msongo mkali wa mawazo ambao umekuletea roho ya chuki. Relax Mkuu chuki dhidi ya binadamu mwenzako ni uchafu wa roho. Hoja zijibiwe kwa hoja sio unachokiandika hapa ni Chuki +Msongo wa mawazo +Maisha magumu 😂😂😂😂
 
Mi tajiri, siyo kama yule pipa wenu
 
Matokeo yake sasa, ni kwamba watu hawaogopi tena kuwekwa rumande kama ilivyokuwa zamani. Kuwekwa rumande sasa limekuwa jambo la kawaida kabisa, na hasa wakati mtu anawekwa ndani kwa uonevu tu.

Nadhani kunahitajika kuwepo na vigezo maalum vya mtu kuwekwa ndani; vigezo hivyo vikikiukwa huyo mhanga awe na haki ya kwenda mahakamani kuwashtaki polisi kwa uonevu waliomfanyia.
Haiwezekani watu wawe wanawekwa ndani tu hovyo hovyo, kwa vile tu DC au RC au polisi kataka kuonyesha madaraka yake na kutisha watu.
 
Jamaa alievalia kapelo nyeusi na Tshirt nyekundu ndo kiumbe pekee ambae CCM wanamtafuta kwa Udi na uvumba sana.....basi tu ni vile kila wakitega mitego jamaa hawamnasi. anawaumuza sana vichwa.😛
 
Njoo huku kwa wasimbe mfarijiane
 
Tulijua tu wataachiwa kwani hawakuwa na koaa.

Wenye haki wataishi kwa imani.
 
Maskini wa roho😆😆
 
Hivi Kuna polisi humu jf na fb , Kama yupo mmoja mwenye weledi amstue kamanda naye asome Mara moja moja aone kazi za Malisa katika jamii. Kuna siku MTU wa familia yake ataomba msaada wa Malisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…