Hatimaye Man City bingwa EPL

Hatimaye Man City bingwa EPL

pangalashaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
1,301
Reaction score
1,579
Man U wamelazimishwa wamtangaze bingwa mapema japo walikuwa wanabisha na hawataki. Hii ni baada ya kupokea kipigo cha goli moja kwa bila wakiwa nyumbani Old Trafford kutoka kwa West Brom Albion .
Hii inawafanya kuwa nyuma kwa point 16 dhidi ya Man City huku wote wakiwa wamesalia na mechi tano kila mmoja.
Kwa hali hii inafanya Man City kuwa mabingwa wapya wa EPL kwa msimu wa 2017/18.
Hongera kwa kocha Josep 'Pep Guardiola Sala na vijana wake.
 
Wanastahili pongezi. Wanacheza sana mpira wale jamaa, ukipona, mshukuru MUNGU.
 
Final ishakua uzeeni!!! Man U hata wafanye nn its too lete.
 
.......YAMETIMIA............, ligi imebakiwa kwa wale wanaogombea nafasi ya kucheza UCL!
 
Back
Top Bottom