pangalashaba
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 1,301
- 1,579
Man U wamelazimishwa wamtangaze bingwa mapema japo walikuwa wanabisha na hawataki. Hii ni baada ya kupokea kipigo cha goli moja kwa bila wakiwa nyumbani Old Trafford kutoka kwa West Brom Albion .
Hii inawafanya kuwa nyuma kwa point 16 dhidi ya Man City huku wote wakiwa wamesalia na mechi tano kila mmoja.
Kwa hali hii inafanya Man City kuwa mabingwa wapya wa EPL kwa msimu wa 2017/18.
Hongera kwa kocha Josep 'Pep Guardiola Sala na vijana wake.