Hujui kuwa lengo lao kwenda huko ilikuwa ni kuvunja network ya Al-Qaida, hawakwenda kutawala. Je leo hii umeshamsikia Bin laden au Ayman Al_Zawahir tena, au hata tamko tu lolote lile la Al-Qaeda?Sa si ndo kashindwa mzee au hio miaka 20 alikua anafanya nini ssa kama anaondoka hajatimiza lengo
Ahaa kwa hio taliban si ishu kwa au sio na haikua sababu ya wao kwendaHujui kuwa lengo lao kwenda huko ilikuwa ni kuvunja network ya Al-Qaida, hawakwenda kutawala. Je leo hii umeshamsikia Bin laden au Ayman Al_Zawahir tena, au hata tamko tu lolote lile la Al-Qaeda?
Kwa hiyo Marekani inaenda kusambaratika kisa imeondoka Afghanistan?Urusi inalipiza kisasi. Siku zile Marekani waliwapa Taliban silaha wawaondoe Urusi na kweli waliwaondoa na hatimae Urusi kusambaratika moja kwa moja mpaka alipokuja Putin. Sasa Urusi inafanya kama vile.Sijui hatima ya Marekani itakuwaje.
Hiyo haikuwa primary mission yao mzee. Walikwenda kwa vile Al-Qaeda walikuwa wanapanga mission za kuihujumu marekani wakiwa huko. Hata mashambulizi ya 9/11 waliyapanga wakiwa huo. Marekani iliiambia serikali ya Taliban iwatoe viongozi wa al-Qaida ili waje washitakiwe Marekani, lakini serikali ya Taliban ikasema haitaweza kuwatoa bila kupewa ushahidi wa kutosha kuwa kweli ni Al-Qaida ndiyo walioshambulia world trade center. Serikali ya marekani ikajibu kuwa msipowatoa, tutakuja kuwachukua kwa nguvu, na hiyo ndiyo ikawa mwazo wa vita ile. Wao kuendelea kuwapo kule kwa miaka 20 yote kulikuwa na sababu kadhaa; mojawapo ilikuwa ni kutaka kujenga influence kwenye eneo lile, pili terrain ya nchi ile ilionekana kuwa training ground nzuri kwa askari wa miguu wa Army- hivyo wakaendelea kuitumia. Sababu ya tatu hawakutaka kuiacha Afghanstani kama failed state kama ilivyokuwa Somalia; effect ya failed state ni kujenga terrorists wengi!Ahaa kwa hio taliban si ishu kwa au sio na haikua sababu ya wao kwenda
Hivi Kuna uhusiano wowote Kati ya alqaida na Taliban?Hujui kuwa lengo lao kwenda huko ilikuwa ni kuvunja network ya Al-Qaida, hawakwenda kutawala. Je leo hii umeshamsikia Bin laden au Ayman Al_Zawahir tena, au hata tamko tu lolote lile la Al-Qaeda?
Kwani kunahitajika mabomu mangapi ya nuke kulifuta hilo eneo kwenye uso wa dunia??Hii ndiyo nguvu ya Taliban.nchi ipo kama chujiyo kwa jinsi ilivyoView attachment 1775030
Acha mihemko ya kishabiki na habar za kwenye kawaha Una uhakika na unachosema?Watalebani wanapewa siraha na Iran pamoja na Urusi marekana wamenyosha mikono wameamua kukimbia baada ya kuamriwa na watalebani kuwa waondoke ,walienda kuwasambaratisha wanamgambo wa Talebani lakini wameahindwa wanaamua kuondoka
Ni sawa hiyo.Kwa hiyo Marekani inaenda kusambaratika kisa imeondoka Afghanistan?
Ule ulikuwa usanii tu wa Marekani kuitawala dunia na kuutokomeza uislamu. Kwa sababu hata hapo tulipokuwa tukiwasikia ilikuwa sio wao akina Bin Laden.Ilikuwa tunaangalia picha zao na kusikiliza propaganda za Pentagon.Wenyewe walikwisha kufa zamani. Na walipotaka kulizika jina la Osama Bin Laden ndio wakatengeneza mchezo mwengine wa Abortabad kwa kushirikiana na vibaraka wao wa Pakistan.Hujui kuwa lengo lao kwenda huko ilikuwa ni kuvunja network ya Al-Qaida, hawakwenda kutawala. Je leo hii umeshamsikia Bin laden au Ayman Al_Zawahir tena, au hata tamko tu lolote lile la Al-Qaeda?
Umeangalia na soko la silaha limeingiza kiasi gani kwa hapo pekee?yashindwa ama imeamua kusepa?
ni jambo zuri maana imekula pesa za walipakodi sana. na walipa kodi wamarekani kwa kweli ni wa kipekee maana inshu zingine wanapiga kelele ila wakipigwa tu 'tunapambana na magaidi' hua watulia. kuna wazee kwenye jeshi matajari leo kutokona na hivi vita!
wasiwasahau tu wale wakalimani waliokuwa wanawasaidia maana sasa watawindwa wakiamua kuwaacha!