Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugoro uliokula jana ndo umekuja utapikia humu ..... Eti torpedo sijui submarine blaah blaah ....We jamaa wameuliwa watoto wake na wazee huko Ukraine unajua??
Hata hazard ya vita kuvuka mipaka hujui.
Mrusi atapigwa tu vyovyote vile.
.mi nishaziona torpedo zao na submarine mara kadhaa.
Walikua threat Europe yote.
Vita ya Ukraine sababu tu ila hao watu walikua siku nyingi sana wanamtafuta putin.
Kafika mahali pake
Kama NATO walikuwa wanamtafuta sawa ila wasitumie damu ya watu wa ukraine, wajitose wao uwanja wa vita wauone utamu wake kama ni utamu!
Ndio imefika mkuu.Kama NATO walikuwa wanamtafuta sawa ila wasitumie damu ya watu wa ukraine, wajitose wao uwanja wa vita wauone utamu wake kama ni utamu!!
Asante sana kitoko kijanaUgoro uliokula jana ndo umekuja utapikia humu ..... Eti torpedo sijui submarine blaah blaah ....
Nafkiri russia sasa Hana Cha kuchunguza tena jibu kashalipata tumuone sasa akirusha japo jiwe upande wa magharibi🤣 Hahahaha
Japo watu wengi walikuwa wanafahamu kuwa lengo la Urusi tangu mwanzo ilikuwa ni kuidhoofisha Urusi kiuchumi na kijeshi Walikuwa wanafanya kama siri fulani. Kwa sasa wanasema kwa wazi lengo hilo, kama mkuu wa majeshi ya marekani alivyokiri hilo lengo. Ila hawakuwa tayari kuingia wao binafsi katika vita na urusi ya ana kwa ana.
Lakini wakaichochea Ukraine ili ing'ang'anie kuomba kujiunga na NATO na wao Marekani wakasema watayakubali kwa haraka maombi ya Ukraine kujiunga na NATO. Marekani walikuwa wanajua kuwa suala la Ukraine kujiunga NATO ni mstari mwekundu kwa Urusi. Kwa hiyo walikuwa na uhakika kuwa LAZIMA URUSI ITAIVAMIA UKRAINE.
Walipoona Ukraine inakusanya majeshi wakajua kwa uhakika kuwa ukraine itavamiwa kwa hiyo WAKAFURAHI sana kuwa wamefanikiwa kuiingiza mkenge Ukraine ili ivamiwe na Urusi.
Kimsingi Marekani na washirika wake wa NATO ndio wako vitani na Urusi kwa kutumia DAMU ya Wa-ukraine kama askari wao wa kukodiwa katika vita hii. Inafahamika kuwa ukiwa na askari wa kukodiwa wewe ndio unawajibika kuwagharimia kila kitu wawapo vitani. Ndio maana nchi za magharibi HAZIONI TAABU kuwapatia ukraine silaha na pesa za kujikimu kipindi hiki cha vita.
Wasichotaka kusikia ni mapatano ya amani kabla lengo lao la kuidhoofisha Urusi kijeshi na kiuchumi halijafanikiwa. Wanatumia vikwazo vya kiuchumi zaidi ya 6,000 kuidhoofisha kiuchumi na wanataka vita idumu kwa muda mrefu ili kuidhoofisha urusi kijeshi na kiuchumi. Kinachowakera mabeberu wa magharibi ni kuona uchumi wa urusi haujateteleka kama walivyotarajia.
Nchi za magharibi wanaamini kuwa kwa kuwapatia silaha kali wa-ukraine kila wakati, zikiharibiwa wanapeleka zingine, zikiharibiwa wanapeleka zingine na mwisho wa siku wanaamini urusi ataishiwa silaha zake zinazoharibu misaada yao kisha watafanikiwa malengo yao. Ngoja tuone je watafanikiwa? Ila mpaka sasa inaonekana bado wanatwanga maji kwenye kinu.
Leo pesa ya urusi ruble imepanda thamani kufikia kiwango cha miaka miwili iliyopita! Na kwenye uwanja wa vita imeshambulia reli na vituo vya reli vingi vinavyotumika kuingizia silaha nzito na imeshambulia vituo vya kijeshi vinavyohifadhi silaha hizo. Hii ni nukuu ya mkuu wa majeshi ya marekani iliyonukuliwa na chombo cha habari cha marekani CNN:
Top US general: We want to see a free Ukraine and a "weakened Russia"
US Chairman of the Joint Chiefs Gen. Mark Milley told CNN that the policy of governments supporting Ukraine is to see the embattled country free and independent and a "weakened Russia."
"At the end of the day, what we want to see, what I think the policy of all of the governments together is a free and independent Ukraine, with the territory intact and their government standing," he said. "I think that's going to involve a weakened Russia."
He added that the unity among western countries is key.
"The unity of the West and the unity of NATO, and indeed, the unity of the globe has probably never been stronger than it is in the face of this unprovoked aggression. That's where we're heading."
We kima umeliwa tako nakuona mbona mi sisemi? Au tuanze kutoleana siri humuUgoro uliokula jana ndo umekuja utapikia humu ..... Eti torpedo sijui submarine blaah blaah ....
Kama wanamtafta PUT IN c warushe booom pale MOSCOW !!!??We jamaa wameuliwa watoto wake na wazee huko Ukraine unajua??
Hata hazard ya vita kuvuka mipaka hujui.
Mrusi atapigwa tu vyovyote vile.
.mi nishaziona torpedo zao na submarine mara kadhaa.
Walikua threat Europe yote.
Vita ya Ukraine sababu tu ila hao watu walikua siku nyingi sana wanamtafuta putin.
Kafika mahali pake
Na hapo ndo tunaisubiri ww3 iwe live,maana kwa Sasa inapigwa chinichini lkn hii Vita haitakuwa ya Russia peke yake na NATO,Kuna mataifa yapo nyuma ya urusi ,huwezi amini kinachokwenda kutokea!! mataifa yataingia kupigana uwanja wa Vita utakuwa Ukraine lkn baadae utasambaa na maeneo mengine ,maana Ukraine iwe mchana au usiku ita surrender tu,Hilo halina ubishi,na maanisha itachakazwa yote!!We jamaa wameuliwa watoto wake na wazee huko Ukraine unajua??
Hata hazard ya vita kuvuka mipaka hujui.
Mrusi atapigwa tu vyovyote vile.
.mi nishaziona torpedo zao na submarine mara kadhaa.
Walikua threat Europe yote.
Vita ya Ukraine sababu tu ila hao watu walikua siku nyingi sana wanamtafuta putin.
Kafika mahali pake