Kama unayo makubwa mpunguzieaiseee sasa mbona hana makalio ya kutosha huyo bibie....ina maana Mchungaji ajui kuwa Raha ya nyumba ni choo?!
hahahahahahhaha aisee barafu we ni hatarii mkuu, umeniua kwa cheko sio kitoto eti umbea ni dawa!!!! hahahahahahahahahahahahhaNani huyo?kohoa umbea huo tuusikie...Ukikaa nao kooni utapaliwa au kupata saratani ya koo!!Umbea raha yake uuteme,ni tiba kwa magonjwa nyemelezi ya kinywa na koo
Tema Mkuu tema huo
mkuu ...adabu,sawa...lakin sura nayo muhimuUzuri uko machoni pa muangaliaji.
By the way, siku hizi watu huangalia personality ya mtu na sio physical appearance.
Hatuoi makalio na sura nzuri bali UTU & ADABU.
It's not all about sura au shape (looks) ni ile physical attraction anayokuwa nayo mtu kwa mpenzi wake. Mtu anaweza akawa na shape kubwa au sura nzuri na asikuvutie kihivyooomkuu ...adabu,sawa...lakin sura nayo muhimu
hahaaaa fulani atakua kazimia wallah siyo kwa kujipendekeza kule.
Kwani Masanja kijana?Mbona ka bi kezee...!!!
BACK TANGANYIKA
that's another side of the truth i agree,have you ever meet an ugly lady,bad face and shape with sexual/physical attraction? ninao wajua ambao huwa na sexual attraction atleast lazima wawe na kimoja au vyote au wawe normal(kawaida-sio mbaya sio mzuri)...lakin a lady with ugly face and ugly shape having sexual/physical attraction...sijawahi ona.It's not all about sura au shape (looks) ni ile physical attraction anayokuwa nayo mtu kwa mpenzi wake. Mtu anaweza akawa na shape kubwa au sura nzuri na asikuvutie kihivyooo
Hahaahaaaa [emoji13] [emoji13]Nipe ubuyu basiii