Hatimaye Masanja Mkandamizaji amvika pete mchumba wake

Hatimaye Masanja Mkandamizaji amvika pete mchumba wake

aiseee sasa mbona hana makalio ya kutosha huyo bibie....ina maana Mchungaji ajui kuwa Raha ya nyumba ni choo?!
 
Nani huyo?kohoa umbea huo tuusikie...Ukikaa nao kooni utapaliwa au kupata saratani ya koo!!Umbea raha yake uuteme,ni tiba kwa magonjwa nyemelezi ya kinywa na koo
Tema Mkuu tema huo
hahahahahahhaha aisee barafu we ni hatarii mkuu, umeniua kwa cheko sio kitoto eti umbea ni dawa!!!! hahahahahahahahahahahahha
 
So hiki Mkamizaji anahalalisha kiburudisho awe ana kikandamiza kwa mwendo kasi.....haya mwanawane Ubarikiwe sana
 
It's not all about sura au shape (looks) ni ile physical attraction anayokuwa nayo mtu kwa mpenzi wake. Mtu anaweza akawa na shape kubwa au sura nzuri na asikuvutie kihivyooo
that's another side of the truth i agree,have you ever meet an ugly lady,bad face and shape with sexual/physical attraction? ninao wajua ambao huwa na sexual attraction atleast lazima wawe na kimoja au vyote au wawe normal(kawaida-sio mbaya sio mzuri)...lakin a lady with ugly face and ugly shape having sexual/physical attraction...sijawahi ona.
 
Back
Top Bottom