Beauty is in the eye of the beholder. what matters ni muhusika avutiwe na baby wake basi, coz wengine tunaweza ona kama huyo mtu hatuvutii. Unajua kitu mvuto? Kuna watu wana hayo ma-shape lakini unaishia kuwatamani kwa dk 1 afu nitolee na Kuna mwingine ana kimwili cha kawaida ila ndo unakosa hadi na usingizi juu yake. Au hujawahi ona mtu ana shape ya kawaida mnooo ila watu wanapanga foleni?that's another side of the truth i agree,have you ever meet an ugly lady,bad face and shape with sexual/physical attraction? ninao wajua ambao huwa na sexual attraction atleast lazima wawe na kimoja au vyote au wawe normal(kawaida-sio mbaya sio mzuri)...lakin a lady with ugly face and ugly shape having sexual/physical attraction...sijawahi ona.
Uko sahii mtu awe walau wakawaida...but not ugly face and shape,halafu tuseme anatiba nzuri;mtu umbebe tu.Beauty is in the eye of the beholder. what matters ni muhusika avutiwe na baby wake basi, coz wengine tunaweza ona kama huyo mtu hatuvutii. Unajua kitu mvuto? Kuna watu wana hayo ma-shape lakini unaishia kuwatamani kwa dk 1 afu nitolee na Kuna mwingine ana kimwili cha kawaida ila ndo unakosa hadi na usingizi juu yake. Au hujawahi ona mtu ana shape ya kawaida mnooo ila watu wanapanga foleni?
Au ushakutana na mtu ile mwanzoni hajakuvutia kabisa ila as days pass by unaanza kuvutiwa naye hatareee. My point is sio mtu ndo uignore kabisa what's on the outside, ila what matters ni mtu anavyokuvutia na inawezekana akaja kwenye package ambayo hujawahi kuwa na fantasy nayo kabisa. It's all about what you need, and not want you want. Otherwise wengine tusingepata hata psi psiii, wangeolewa tu bongo movie lol
Hahaha everyone is beautiful in their own ways. Cha msingi wewe tafuta wa kwako anayekuvutia basi. It's not all about the inner beauty, physical attractions lazima nayo ihusike sana tuUko sahii mtu awe walau wakawaida...but not ugly face and shape,halafu tuseme anatiba nzuri;mtu umbebe tu.
Uzuri uko machoni pa muangaliaji.
By the way, siku hizi watu huangalia personality ya mtu na sio physical appearance.
Hatuoi makalio na sura nzuri bali UTU & ADABU.
...physical attraction inaweza isihusike hata kidogo...Hahaha everyone is beautiful in their own ways. Cha msingi wewe tafuta wa kwako anayekuvutia basi. It's not all about the inner beauty, physical attractions lazima nayo ihusike sana tu
Ha ha ha ha ha mbea ulietukuka lolNani huyo?kohoa umbea huo tuusikie...Ukikaa nao kooni utapaliwa au kupata saratani ya koo!!Umbea raha yake uuteme,ni tiba kwa magonjwa nyemelezi ya kinywa na koo
Tema Mkuu tema huo
thats just saying kwamba killa mmoja ana mzuri/uzuri wake,but in reality mzuri/wakawaida anaonekana on every one eyes...sema kila mbuzi anakula na urefu wa kamba yake au wafu na wafu wenzao. hizi kauli za kilaa mmoja huwa ana mzuri wake huwa ni zakujipa moyo na muda mwingine kujitia woga...maake ingekuwa hivyo watu wange kuwa hawageuzi shingo zao,mara utasiki.."daah yule mtoto balaa...umemuona..." na mwingine si ajabu nyumbani kaacha mzuri wakeHahaha everyone is beautiful in their own ways. Cha msingi wewe tafuta wa kwako anayekuvutia basi. It's not all about the inner beauty, physical attractions lazima nayo ihusike sana tu
Sio vizuri asee huku ni kupeana preshahahaaaa fulani atakua kazimia wallah siyo kwa kujipendekeza kule.
halafu ubaya anasali pale pale.Sio vizuri asee huku ni kupeana presha
It's all about Needs Vs Wants. Masanja angeweza kuafford kabisa huyo mwanamke ambaye kila mtu angemgeuzia shingo, but luckily she Is all he needs.thats just saying kwamba killa mmoja ana mzuri wake,but in reality mzuri/wakawaida anaonekana on every one eyes...sema kila mbuzi anakula na urefu wa kamba yake au wafu na wafu wenzao. hizi kauli za kilaa mmoja huwa ana mzuri wake huwa ni zakujipa moyo na muda mwingine kujitia woga...maake ingekuwa hivyo watu wange kuwa hawageuzi shingo zao,mara utasiki.."daah yule mtoto balaa...umemuona..." na mwingine si ajabu nyumbani kaacha mzuri wake
Inawezekana kabisa pia. But uhusiano bila physical attraction mmh sijui lakini, coz hakuna linaloshindikana chini ya jua...physical attraction inaweza isihusike hata kidogo...
its true mke wa masanja mbona mzuri/wakawaida...mimi hofu yangu ni kwa mtu anayedai mke tabia. My concern is an ugly most men push her away unless got something extra...na hiyo extra sio tabia.It's all about Needs Vs Wants. Masanja angeweza kuafford kabisa huyo mwanamke ambaye kila mtu angemgeuzia shingo, but luckily she Is all he needs.
unahatari...mod inabidi akubadili id uwe miss ubuyuhalafu ubaya anasali pale pale.
kuna watu wamejifunza kutokana na makosa,physical attraction waliweka vigezo na namba moja..Baada ya kutendwa hasa lazima strategy ibadilike.Si unajua ukiumwa na nyoka,hata ukiguswa na jani tu,...Inawezekana kabisa pia. But uhusiano bila physical attraction mmh sijui lakini, coz hakuna linaloshindikana chini ya jua
Wivu wa nini? Basi kaolewe wewe mwenye makalioaiseee sasa mbona hana makalio ya kutosha huyo bibie....ina maana Mchungaji ajui kuwa Raha ya nyumba ni choo?!
Unanizidishia dukuduku ujuehalafu ubaya anasali pale pale.
Tyta kule juu kote, point yangu ilikuwa between "looks" and "physical attraction".kuna watu wamejifunza kutokana na makosa,physical attraction waliweka vigezo na namba moja..Baada ya kutendwa hasa lazima strategy ibadilike.Si unajua ukiumwa na nyoka,hata ukiguswa na jani tu,...
Pia Mila na Tamaduni za sehemu husika ni kigezo kikuu katika wapenzi kuchaguana/kuchaguliwa...Kuna jamii nyingine ilimradi wewe ni ''pure''(bikra) bila kujali una umbo ama sura ya namna gani,basi wewe ni kigezo tosha cha kugombewa na vijana wengi...